Mohammed Safwat anashinda nafasi ya pili katika mashindano ya Helsinki kwa Tenisi

 Bingwa wa Misri Mohammed Safwat mchezaji wa  Tenisi wa klabu ya wadi Degla alipata jina la

Mkuu wa Michuano ya Helsinki ambayo Finland inaikaribisha Hadi 17 mwezi wa Novemba

 

Na mchezaji wa Finland Emil Risofory mwenye ardhi na Hadhira (mwenyeji )  alimshinda safwat katika mechi ya fainali

 

Na kushindwa kwa Mohammed Safwat kulikuja baada ya mechi muhimu ambapo bahati ilikuwa pamoja na mwenyeji  kwa vikundi viwili mbele ya kikundi kimoja , tija zake zilikuja kama yafuatayo :3-6 , 6-7 , na hatimaye 2-6

Comments