Nchi kumi na moja za kiafrika zinashiriki katika olimpiki ya msichana mwafrika kwa wanafunzi wa vyuo vikuu huko Aswan

shughuli za olimpiki ya msichana mwafrika zilizoandaliwa na wizara ya vijana na michezo huwa katika utawala wa kati wa maendeleo ya michezo , utawala mkuu wa shughuli za wanafunzi wa chuo kikuu kwa kushirikiana na kurugenzi la vijana na michezo huko Aswan mnamo kipindi cha Novemba 14 hadi19 katika jiji la Aswan katika mfumo wa Tangazo la rais Abdel Fattah El Sisi kwamba Aswan ni mji mkuu wa vijana waafrika kwa mwaka 2019

hafla hiyo ilianzishwa na mkurugenzi mkuu wa usimamizi wa shughuli za wanafunzi Bwana  Ahmed Abd Robbo na manispaa ya vijana na michezo huko Aswan Bwana Fathi Abdel Hafez pamoja na ushiriki wa wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya kiafrika wanawakilisha nchi : Senegal . Mali . Eritrea . Sudan kusini . Uganda . Afrika ya kati . Kenya . Sudan . Malawi na Nigeria pamoja na Misri

katika mkutano wasichana 80 wa kiafrika walishiriki na wanawakilisha baadhi ya nchi za bara walichaguliwa kutoka kwa wanafunzi , wanashindana katika michezo kadhaa ni " mpira ya miguu ya Khomasia na tenisi ya meza " mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Misri na Eritrea na Misri ilishinda mechi 2-0  na pia Uganda , Nigeria , Misri na Mali hukutana katika tenisi ya meza

wasichana walioshiriki walikwenda kutembelea maeneo kadhaa ya kiathari na kitalii katika jiji la Aswan ni : bwawa la juu , hekalu la Filae , kisiwa cha mimea na hufanya matembezi ya nile na kutembelea makumbusho ya mto nile na Nubia na Vivutio vingine vya kiutalii huko Aswan

Comments