Balozi wa Tanzania katika Kairo: tunaamini Urais wa Misri kwa Uongozi wa Rais Abd Elfatah Elsisi kwa Umoja wa kiafrika.


Ujumbe wa kundi la masuala ya kiafrika na kiarabu kwenye chama cha waandishi wa habari kwa uongozi wa mwakilishi wa kundi bwana "Ayman Amer", na mwanachama wa jumuia wa kiujumla bwana "Ahmed Bahgat", walikutana na Balozi mtanzania katika Kairo "Brigedi Isaa Soliman", kwenye makao makuu ya Ubalozi, na hayo yote ili; kutafutia njia za kuunganisha mizizi kati ya nchi mbili kupitia Ushirikiano wa kihabari na kimatangazo, kupitia shughuli za kundi hili. 


Na bwana "Issa Soliman" mnamo mkutano wake wa kundi hilo amekaribisha Ushirikiano pamoja chama cha waandishi wa habari nchini Tanzania, kubadilisha na ujuzi na ziara na mafunzo ya pamoja kwa waandishi wa habari nchini Misri na Tanzania, pia kuzidisha njia za Ushirikiano katika setka zote, naye Balozi "Solaiman" amesifu mchango wa Misri na shughuli zake, khasa "Mkawleen ElArab" ambayo kujenga bwawa la kitanzania kulibebwa kwake, kulingana na ujuzi wake mkale wa ujenzi, na Balozi alifafanua kwamba Tanzania inafungua milango ya Uwekezaji kwa wateja wamisri ili; kuwekeza katika nyanja zote, akiwaita wamisri kuitembelea Tanzania kwa ajili ya Utalii, akiashiria kwamba kanuni ya Uwekezaji nchini Tanzania inazilinda na inazidhamini haki za wateja kikamilifu na milango ya Uwekezaji ni wazi nchini Tanzania kwa wateja wamisri katika nyanja zote, akiashiria kwamba Tanzania inaamini Urais wa Misri kwa uongozi wa Rais Abd Elfatah Elsisi kwa umoja wa kiafrika, akisisitiza kwamba rais Elsisi ana uwezo na masuluhisho ya kisiasa kwa ajili ya kutatua matatizo ya Amani na Usalama barani Afrika, na kuhakikisha maendeleo ya ujumla. 


. na kwa upande wa "Ayman Amer" mwakilishi wa kundi la masuala ya kiafrika na kiarabu kwenye chama cha waandishi wa habari,  amefafanua dharura ya Ushirikiano wa pamoja kati ya chama cha waandishi wa habari nchini Misri na Tanzania ili; kuimarisha fungamano la kiufundi, kijamii, na kiutamaduni, na kuunganisha mahusiano ya pamoja katika nyanja zote kati ya nchi mbili na mataifa ya kiafrika ili; kuhakikisha maslaha za wananchi waafrika, na bwana "Amer"amesisitiza umuhimu wa mchango wa uandishi wa habari na vyombo vya habari ili; kukuza mahusiano ya kimisri ya kiafrika, na kujadili masuala ya kiafrika kwa maoni ya kiujumla kwa lengo la umoja wa nchi za kiafrika kwa Utamaduni na marudio ya kuboresha kwa bara jeusi, ambalo Misri inazingatia mwanachama na mshiriki mkuu ndani yake, bwana "Amer" ameashiria kwamba tangu kipindi kidogo ilikuwepo idhaa zinazoelekea nchi za kiafrika lakini hatua kwa hatua zilifichwa, nalo litakaloshughulisha kwa kundi la masuala ya kiafrika na kiarabu kwenye chama cha waandishi wa habari wamisri pamoja na Taasisi tofauti kwa ajili ya kuwepo mtandao na idhaa Kwa lugha za kiafrika, ili; kuzielimisha nchi za kiafrika tamaduni za kimisri, na kulitangulia Afrika kwa Misri, kupitia Ushirikiano wa waandishi wa habari wamisri na waafrika.

Comments