Misri inashikilia uanachama wa Ofisi ya Mtendaji wa Shirikisho la Kimataifa la Utamaduni wa Michezo
- 2019-11-19 20:17:27
Ujumbe wa Shirikisho la Utamaduni wa Kijeshi la Misri unaoongozwa na Ashraf Mahmoud na Inas Mazhar, naibu wa hazina, uliomba Misri ikaribishi Mkutano wa shirika la umma kwa Shirikisho la Kimataifa la Utamaduni wa Michezo kwenye mkutano wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Kimataifa la Utamaduni wa Michezo, lililofanyika mwezi uliopita nchini Hungary. Mujan kirkiby mkuu wa shirikisho alikarbishia wazo hilo, na mkutano ulifanywa na naibu mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Uratibu kwa mahitaji ya mkutano na shughuli zinazohusiana na mkutano.
Imekuja katika ripoti hii iliyoitolewa kwa shirikisho la kimisri kwa utamaduni wa mechezo kwa idara kuu ya
maendeleo ya vijana katika wizara ya vijana na mchezo, kwamba ujumbe wa Misri
uliwasilisha matokeo ya Wiki ya Vijana na Michezo, ambayo iliwasilishwa mjini Aswan zamani kadhaa mbele ya rais wa
Shirikisho la Kimataifa, aliyeelezea
furaha yake kuitembelea Aswan.
Pia aliusifu uandaaji
huo na wanachama wa Congress
"Kongamano" walionyesha furaha yao kwa ripoti hiyo na hamu yao
kwa wimbo wa hafla hiyo, ambayo iliwasilishwa kwa lugha tatu (Kiarabu,
Kiingereza na kifaransa).
Ushiriki wa
Shirikisho katika shughuli za kitamaduni zinazohusiana na Michezo ya Afrika
iliyofanyika nchini Morocco, na kuwasifu waliohudhuria kwa juhudi kubwa
iliyotolewa na Jumuiya ya kimisri kueneza utamaduni wa michezo barani Afrika.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Misri katika mkutano huo alitaka
kupunguza karo ya uanachama katika Shirikisho la Kimataifa na pia kupunguza ada
ya kushiriki katika kazi ya Congress "Kongamano" kwa wanachama wa
Afrika ili kuwezesha na kuwatia moyo kuhudhuria na kushiriki, ameahidi
mwenyekiti wa Shirikisho la Kimataifa kuzingatia ombi hilo na kuchukua uamuzi
unaowasaidia.
Vikao vya mkutano wa Congress vilifunguliwa na uwasilishaji
wa ripoti ya kifedha na bajeti kwa miaka miwili ijayo, na idhini ya marekebisho
ya vitu kadhaa katika ibara za Shirikisho la Kimataifa kuhusu nguvu za Kamati
ya Utendaji na katibu mkuu, na pia idhini ya ushirika wa vyama 29 vipya kutoka
mabara tofauti ya ulimwengu.
Kamati ya Utendaji,
mwenyekiti na Makamu wa Rais walichaguliwa ,na mwenyekiti wa shirikisho ya
kimataifa, naibu mkuu , viongozi wa shirikisho barani miongoni mwao Ashraf
Mahmoud mwenyekiti wa mashirikisho mawili ya kimisri na kiafrika walihifadhi
viti vyao katika duru ijayo.
Mjadala muhimu ulianza juu ya umuhimu wa michezo kwa afya ya
umma, ambayo mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani alizungumza Katika kikao
kikuu, kilichokuwa juu ya mabadiliko ya wazo la mazoezi na faida zake za kiafya
ikilinganishwa na miongo mitatu iliyopita. Na alijadili kuwa kielektroniki
ilipunguza mazoezi ya mchezo na mkutano ilithibitisha kuwa mambo ya
kielektroiniki yalijadili njia zingine za
kuhamasisha mazoezi yao na watoto, vijana na watu wazima wanaweza kucheza
michezo ya kielektroniki kupitia skrini maalumu zilizowekwa katika shule, vyuo
vikuu na vituo vya vijana ili waweze kucheza michezo ya kielektroniki kwa
mwendo kama Tenisi , Skwashi, mpira wa miguu na Kutumia zana sawa za hisabati
na mazoezi na skrini, Warsha nne zilifanyika baada ya kikao kikuu kwa siku
mbili, kushughulikia mada zao, kuelezea upya dhana ya afya kupitia nafasi wazi, kubadilisha dhana ya
mazoezi kupitia elimu ya mwili na afya, na kugundua njia mpya za kusaidia na
kuhimiza elimu ya mwili. Shule yote kama wazo jipya la michezo maarufu na
diplomasia ya michezo na kufungua upeo mpya na rasilimali kwa msaada wa
kifedha.
Kabla ya kumalizika kwa mkutano huo, Shirikisho la Kimataifa
liliandaa semina mbili juu ya mchakato wa kugawanya washiriki katika vikundi
kwa ajili ya matumizi ya semina za nadharia katika nafasi wazi, shule, vyuo vikuu na mitaa.Kikao cha
kumalizia kilifanyika ambapo Shirikisho la Kimataifa limetoa mwito kwa
washiriki wote kutoka mabara tofauti kuhamisha uzoefu na maoni yaliyowasilishwa
katika Bunge la Congress kupitia vikao na semina katika nchi yao na matumizi
yake kufaidi kila aina ya watu wa rika tofauti.
Comments