Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono linatuma kamati ya kuchunguza viwanja vya kombe la dunia

 Shirikisho  la  kimataifa la mpira  wa  mikono linaloongozwa na  Dokta   Hassan  Mustafa  wamuambia  mwenzake  wa  Kimisri  kwa  kufikia kamati ya kuchunguza moja  kwa  moja  juu ya  shughuli  za  mwisho  za  viwanja ili  kukaribisha  kombe  la  kimataifa  la mpira  wa  mikono  na  maandalizi  ya  mwisho  kwa shughuli  zote  za  michuano 2021   itakayokaribishwa  kwa Misri  .

 

Inayopangwa kuja  kamati  ya   kimataifa  ya kuchunguza  na  kupokea kupitia  wiki  hii  ili  kuandaa  ripoti ya  kina  juu  ya  haraka ya  kumaliza  kazi  na kujenga  viwanja na  maandalizi  yote yanayohusiana  na  kombe  la kimataifa  .

 

 

Michuano  inakaribisha  kumbi  4 zinzofunikwa  nazo  ni  Mji mkuu wa kiuongozi , Mnara wa  Arb ,  Uwanja  wa  Kairo   na  Mji wa Sita Oktoba   na  inayozingatiwa  kuzimaliza  kwa  mujibu  wa  maagizo ya  shirikisho  la  kimataifa  kabla  ya  michuano  kwa  miezi  6 kwa  kiwango  cha  Juu.

 

Inayoamuliwa kwamba  mkuu  wa  timu ya kitaifa  ya ujumbe wa  kukagua anasindikizwa  na   kocha  Alaa  Elsaid   , na  kwa  kuzingatia  kuwa  kocha  Hossen  labeb    mkuu  wa  michuano    atakayelichukua  jukumu  kwa  ombi kutoka  shirikisho  la  Misri  la  mpira  wa  mikono  kwa  uongozi  wa  Mhandisi   Heshim   Nasr.

 

Shirikisho la  kimataifa la  michuano linafuata maandalizi  yake  kwa kupitia kiasi   na takriban  kila  siku  na  linajali  kusisitiza kwamba   hakuna  nafasi ya kupuuza au  kuzembea  wakati  huo huo   nchi ya  Misri  inajiandaa  ili  kuonekana  kwa  namna  ya maandalizi  tafauti  katika shindano gumu sana  la kombe  la  dunia     kuliko mashindano  yaliyopita  .

Comments