Wizara ya vijana na michezo inazindua kambi la kwanza la malezi ya kitaifa, "Mimi ni Mwafrika" Kwa ushiriki wa wavulana wa nchi 24 za kiafrika

 Wizara ya vijana na michezo inazindua kambi la kwanza la malezi ya kitaifa chini ya kauli mbio "Mimi  ni Mwafrika" Kwa ushiriki  wa 250 kutoka wavulana wa Misri na jamii za Kiafrika zinazoishi ndani ya Misiri katika mji wa vijana huko Aleskandaria  mnamo kipindi cha  16 hadi 20 ya Novemba 2019

 

Kambi hilo  linalenga kubadilishana kwa kisiasa, kihistoria, kiustarabu na kiutamaduni kwa vijana wa bara la Afrika, Kambi hilo  linajumuisha

Utekelezaji wa Warsha za mwingiliano wa  maisha  ya Amani na kukubalika wengine  pia ni pamoja na shughuli za jamii ndani na nje ya mji wa vijana.

Comments