Timu ya " wanawake " inajiandaa na kufIkia kombe la dunia kwa wanawake vijana kupitia Afrika kaskazini
- 2019-11-20 23:04:07
Timu ya kitaifa ya mpira wa miguu wa wanawake vijana chini
ya miaka 20 chini ya kocha Hussein Abdellatif itaendelea na mazoezi wakati wa
kambi lake wazi kama mpango wa maandalizi ya timu hiyo kufikia kombe la dunia
la Afrika chini ya miaka 20
Dokta Sahar Abdel Haq mwanachama wa kamati ya usimamizi wa
shirikisho analolisimamia mpira wa wanawake na Dokta Mahmoud Saad mkurukgenzi
wa kiufundi wa shirikisho hilo kuhudhuria kuanza kwa kambi hilo jana na
kuendelea hadi kesho jumanne , mazoezi hayo yatafanyika kwenye uwanja mdogo wa
uwanja wa Kairo ukisimamiwa na
wafanyikazi wa ufundi unaoongozwa na kiongozi Hussein Abdel latif mkurugenzi wa kiufundi na kocha
mkuu Mostafa Mounir , kocha msaidizi
Faiz Haider , kocha wa washambuliaji wa magoli Basam Khairat , mpango wa kubeba
mizigo wa Essam Sulaiman, daktari wa
timu Walid Mandhour na mtaalamu wa lishe ya Hanaa Mluhairi
mazoezi hayo yalianza jana na mazoezi ya mwili chini ya
usimamizi wa Essam Suleiman ili kuongeza usawa wa wachezaji wa kike pia
ilimlenga mkurugenzi wa ufundi wa Hussein Abdel latif kwa mambo kadhaa ya
kiufundi hasa ustadi wa mtu binafsi katika kumaliza mashambulio na hatua za mtu
binafsi kwenye mpira ili kukuza ujuzi wa wachezaji
washambulio wa magoli watatu Farah Samir , Habiba Khaled na
Elham Hani pia walifanya mazoezi madhubuti chini ya usimamizi wa Bassem Khairat
na jinsi ya kushughulikia mpira wa moja kwa moja kutoka ndani ya sehemu ya
hatari na hatua za haraka
mazoezi hayo yalimalizika na mgawanyiko kati ya wachezaji
waliosimamishwa na Abdel latif zaidi ya
mara moja kurekebisha makosa kadhaa na kutoa maelekezo ya kiufundi kwa
wachezaji
kwa upande mwingine , wafanyikazi wa kiufundi chini ya
uongozi wa Rehab Mamdouh na Merriti Said wanafanya taratibu za kushiriki
mashindano ya kirafiki ya Afrika
kaskazini chini ya miaka 21 yatakayofanyika nchini Algeria kuanzia
Desemba 20 wakati Dokta Sahar Abdelhak msimamizi wa mpira wa miguu kwa wanawake
anawasiliana na timu hiyo kutoa mahitaji ya timu kabla ya kuelekea Algeria
ni muhimu kutaja kuwa wafanyikazi wa ufundi wanategemea
wachezaji wa timu ya kimisri chini ya miaka 20 kushiriki mashindano hayo na sio
kuwatumia wachezaji kutoka nje ya timu ya taifa wakiwa na umri wa miaka 21
kupata faida kubwa zaidi kupitia kujiandaa kwa kufikia Afrika
kwa upande wake , kocha msaidizi Faiz Haider alisema kuwa
kiwango cha timu kinaendelea kuongezeka hasa kwa kuzingatia mafanikio ya Dokta
Sahar Abdel haq msimamizi wa mpira wa miguu wa wanawake
katika kutoa makambi yanayohitajika kila juma ili kuongeza ufanisi wa wachezaji
wa kiufundi na kimwili hii ndio ilionekana kwenye mchezo wa mwisho wa kirafiki
dhidi ya kituo cha vijana cha Al Amireya ilimalizika kwa sare ya 2/2 kocha wa
washambulio wa magoli Bassem Khairat wa timu ya kimisri kwa mpira wa miguu wa
wanawake chini ya miaka 20 alifurahishwa na kiwango cha washambulio wa magoli
Farah Samir na Habiba Khaled na Elham Hani alidokeza kwamba kiwango kwenye
kuongeza hasa Farah Samir aliyekuwa
kushawishi katika mechi wa mwisho wa kiafrika baada ya kufikia kiwango cha juu
baada ya safu ya kambi mfululizo katika kipindi cha mwisho
Comments