Penalti zinatoa Cote Devoir nafasi ya kwanza ya kufikia Tokyo mbele ya Ghana

Timu ya Cote Devoie ilifainika katika kuzuia nafasi ya kwanza ya kufikia olimpiki ya Tokyo na kukarbiti kwa mechi ya fainali kwa michuano ya nchi za kiafrika chini ya mwaka 23 dhidi ya mwenzake ni timu ya Ghana ,kwa penalti baadaya  mabao mawili kwa kila timu kupitia 90 na wakati wa zaidi.

 

Yousef Daw alifungua rekodi kwa timu ya Elivory kwa bao la kwanza katika dakika ya 13 kutoka umri ya mechi ya kwanza .

 

Yaw Yabawa  mchezaji wa Ghana alifunga  bao moja katika dakika ya 51  wakati wa mechi .

 

Yousf Dwa alirudi ili kufunga kwa timu ya Cote Devoir kwa bao ya pili katika dakika ya 84 kabla ya kumaliza mechi ya kusisimua .

 

Evaner Mansah  Mchezaji wa Ghana aliweza  kurudia katika matukio kwa bao la pili katika dakika 90 .

 

Timu ya Ghana ni kasany ilikarbiti kikundi cha kwanza baadaya kusanya alama 4 ,pia timu ya cote devoir ilikarbiti kama kikundi cha kwanza ya pili baadaya kusanya alama 6 kutoka alama 9 .

 

Timu  mshindi kutoka mechi ya Misri na mwenzake wa Afrika Kusini zinaisuburi ,ambyo inafanyawa mnamo saa mbili  kutoka usiku wa leo .

 

Misri inakarbisha michuano inayoandaa kwa kikao cha michezo ya kiolimpiki (Tokyo 2020) katika kipindi 8 mpaka 22 katika mwezi wa Novemba hii ,kiasi kwamba wenya  nafasi za tatu ya juu wanaelekea. 

Comments