Shaimaa Hashad anashinda medali ya dhahabu ya Afrika kwa shuti na anaongeza "kota"kwa Misri katika michezo ya kiolimpiki
- 2019-11-20 23:22:01
Shaimaa Hashad mchezaji wa timu ya shuti kwa medali ya dhahabu kwa wanawake katika 10m bunduki katika michuano ya Afrika itakayofanyika nchini Algeria ili kushinda katika kupata kota ya kufikia olimpiki ya Tokyo 2020.
Pia juzi juzi timu ya kupiga bunduki 10m ilishinda katika
kupata medali ya dhahabu ya michuano.
Wakati ambapo mchezaji Youssef Helmi alipata nafasi ya kwanza katika
mashindano ya piga bunduki ya binafsi ili ameshinda katika kupata kota ya
kufikia olimpiki ya Tokyo.wakati ambapo
Mohamed Hamdi Abdelkader alishinda
nafasi ya pili.
Comments