Waziri wa vijana na michezo anaadhimisha na wachezaji wa timu ya Misri kufikia olimpiki ya Tokyo

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo aliadhimisha na wachezaji wa timu ya Misri ya kiolimpiki chumbani mwa kubadilisha nguo uwanjani Kairo baada ya kuishinda  timu ya kusini Afrika na kufikia olimpiki ya Tokyo 2020 .

 

Timu ya kiolimpiki ilikuwa imeishinda  timu ya kusini Afrika kwa mabao matatu ya moja kwa moja kwenye mechi ya nusu fainali kwa ubingwa wa kombe la mataifa ya kiafrika chini ya miaka 23 unaokaribishwa kwa Misri , inakaririwa kukutana na timu ya Cote de lvoir kwenye fainali ya michuano  siku ya Ijumaa ijayo .

Comments