Wizara ya vijana na michezo inasimama uchumi wa kijani kwa kupanda miti 65 ya matunda mjini mwa vijana katika eneo la Abo keer

katika matukio ya kambi la (Mimi ni Mwafrika) ili kutimiza maoni ya Misri 2030 kwa maendeleo endelevu  na Chini ya uangalifu wa Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo, vijana wa kwanza wa Kiafrika wamelima miti 60 ya matunda mbalimbali kutoka miti ya (miembe, michungwa, mitini, milimau , Matunda madogo ya Oman , mizeituni, miti ya tangarini na Beshmala) katika siku ya mwisho wa matukio ya kambi la (Mimi ni Mwafrika) inayoandaliwa na idara ya uongozi wa bunge na elimu ya kiraia, hii inazingatia jaribio la kwanza ambalo wizara ya vijana na michezo inalolifanya katika kusimama uchumi wa kijani katika majengo yake kwa kuzingatia sehemu ya kiuchumi inayorafiki mazingira kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo endelevu yatakayofuatwa kwa athari safi za mazingira ambazo hazitakuwa na hatari, na pia athari za kijamii ili kurejesha usawa wa mazingira.

Comments