Dokta Ashraf Sobhy "waziri wa vijana na michezo" alikutana pamoja na Ahmed Ahmed " rais wa umoja wa kiafrika kwa mpira", na Mhandisi Hany Abo Rida"rais wa umoja wa kimisri kwa mpira wa miguu, na rais wa tume iandaayo Michuano ya Kombe la mataifa ya kiafrika.
Mkutano huo ulitafutia maandalizi ya mwisho yanayohusu utaratibu wa michuano ya Kombe la mataifa ya kiafrika yenye namba ya 32, itakayoandaliwa hapa nchini Misri Juni ijayo, na waziri wa michezo amesisitiza juu ya dharura ya kumalizika maandalizi yote kulingana na muda maalumu, akisisitiza kwamba nchi inatosheleza uwezekano wote wa kuyaandaa michuano inayofaa pamoja na Jina na cheo cha Misri, yenye uongozi wa kiafrika katika nyanja tofauti.
Ukiongezeka na Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amemkaribisha bwana Ahmed Ahmed "rais wa umoja wa kiafrika wa mpira wa miguu, aliyeieleza furaha yake ya Ushirikiano mwenye faida kati ya Umoja wa kiafrika na taasisi zote za nchi ya kimisri, kwa ajili ya kufanyika michuano ya mataifa ya kiafrika itakayokuwa yenye ufundi na kupangwa zaidi kuliko yote kwenye viwango vyote.
Pia Sobhy ameashiria kwamba nchi inahangaika kutosheleza uwezekano wote kwa taasisi za kimichezo za kiafrika za kiolimpiki na zisizo za kiolimpiki zinazokuwepo nchini Misri, akieleza kwamba umoja wa kiafrika wa mpira wa miguu unapa Usaidizi kutokana na serikali ya kimisri.
Comments