Waziri wa Michezo: ushindi wa Timu ya kitaifa ya mashindano ya Afrika ... mafanikio ya kihistoria na upanuzi wa asili na maendeleo yaliyoshuhudiwa kwa Misri

 Waziri wa Vijana na Michezo Dokta Ashraf Sobhy alisema kuwa Timu ya Olimpiki kushinda lakabu ya Mashindano ya mpira wa miguu ya Afrika chini ya miaka 23, ambayo kwa sasa inakaribishwa na Misri, na pia kufikia Michezo inayofuata ya Olimpiki Tokyo 2020 ni mafanikio ya kihistoria ambayo hayajafanikiwa na ongezeko jipya kwa mchezo wa Misri hasa mpira wa miguu.

 

Alisisitiza kwamba mafanikio haya yanawakilisha upanuzi wa asili wa mafanikio na ustawi kamili ulioshuhudiwa nchini Misri mnamo kipindi hiki cha chini ya uongozi wa kisiasa wa Rais Abdel Fattah El Sisi, Rais wa Jamhuri, aliyekuwa akitamani kutimiza ndoto za watu wamisri katika kujenga hali ya kisasa ya Misri kwa kuunda mazingira na hali zinazofaa kwa ubunifu na kufanikiwa katika nyanja zote na mchezo ni moja wapo ya upande wake muhimu sana.

 

Akiashiria kwamba hivi sasa Misri inashuhudia hali ya ustawi wa michezo katika msamiati mbali mbali wa mfumo wa michezo. Hii ilioneshwa katika uadaaji wa kuvutia la shughuli za Mashindano ya Afrika ya chini ya miaka 23 na kabla yake Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mpira wa miguu Misri 2019 na mambo ya uandaaji huo yaliyofurahisha ulimwengu na ukiongezea na utendaji bora na mzuri wa timu ya kitaifa ya Olimpiki ya Misri wakati wa mashindano na kufanikiwa lakabu ya  kiafrika kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa miguu wa Misri.

Comments