Wafanyakazi wa kifundi wa timu yetu ya kitaifa ya
karate,walitangaza orodha ya wachezaji walioshiriki kwenye mashindano ya Ligi
ya Kimataifa yaliyofanyika mjini Madrid amabo ni mji mkuu wa nchi ya Uhispania,
kutoka mwezi huu Novemba 26 mpaka mwezi ujao wa Desemba 2.
Orodha ya wachezaji inajumuisha Ahmed Ashraf Adel,Ali
Mohamed El-Sawy,Abduallah Mamdouh,Taha Tarek,Mohamed Ramadan,Malik
Jumaa,Abduallah Hesham,Radwa Sayed Radwan,Gyana Farouk,Firyal Ashraf,Yassmin
Hamdy,na Sara Assam.
Ujumbe ulifuatiliwa na Shaaban Saber meneja, Hany Keshta na Mohamed Abdelrahman
makocha.
Mohamed AL-Dahrawy
mwenyekiti wa Jumuiya, alisisitizia kwamba anajiamini katika ujuzi na
uwezo wa wachezaji wa timu kwamba wataweza kupata medali mbalimbali na
kuendelea mafanikio yaliyoanzawa mnamo kipindi kilichopita.
Na aliongeza kuwa wachezaji wote waliandaliwa kwa kupata
medali mbalimbali,hasa kuwa baraza la idara liliazimia juu ya kuondoa vikwazo
vyote vya wafanyakazi wa kfundi na wachezaji
Comments