Shirkisho la mpira inaiheshimu timu ya kiolimpiki katika sherhe kubwa baadaya kufikia olimpiki ya Tokyo
- 2019-11-26 16:01:47
Wakuu wa kamati ya Elkhomasia(Pande tano) kwa shirkisho la mpira chini ya uongozi wa Omr Elganayni waliamua kufanya sherhe ya heshima kwa timu ya Misri ya kiolimpiki kwa uongozi Shwaky Ghareb na kifaa cha kifundi na wachezaji baada ya kufikia rasmi olimpiki ya Tokyo mnamo mwaka 2020 itakayofanywa mnamo Julai ijao ,ili kuiheshima timu baadaya ngazi nzuri inayotolewa katika michuano inayofanyika nchini Misri mnamo kipindi cha siku 8 mpaka siku 22 katika mwezi wa Novemba na matukio yake yalimaliza jana kwa ushirki wa timu 8 kutoka timu nguvu zaidi za bara ni Misri ,Ghana ,Cameron , Mali ,Nigeria ,Afrika Kusini ,Cote del'voir na Zambia .
Wakuu wa kamati ya pande tano wanatafutia wakati ifaayo kwa
kufanya sherhe kupitia siku zijizo katika moja ya hoteli mkoani Kairo kwa uratibu na wahusika wa nchi na wizara ya
vijana na mchezo ,na kuelekeza kutoa mwito kwa wachezaji na familia yao kwa
kuhudhuria sherehe .
Shirkisho la mpira linajadili kulipa tuzo zuri kwa wachezaji
na kifaa cha kifundi baada ya kuhakiksha mafanikio makubwa .
Comments