Mbingwa mmisri Muhamad Elshorbagy -anayeainishwa wa pili ulimwenguni kwa Skwashi ya wanaume - alichukua nafasi ya kwanza katika nusu fainali ya michuano ya chanal Faz inayofanyiwa sasa hivi Uingereza mpaka tarehe 24 mwezi wa Novemba huu .
Elshorbagy alishinda
mwenzake mhindi " Soraf
Gozal " kwa magoli matatu
mbele ya magoli mawili
katika mechi ya
robo fainali na
iliyochukua dakika 85 na matokeo
ya mechi zinakuja
kama yafuatayo : 11-5 , 9-11, 9-11,12-10,10-12 .
Shindano la
chanal Faz linazingatiwa kuwa
miongoni mwa michuano
ya kidhahabu ya Skwashi ambapo
thamani ya tuzo
ya kifedha inakadiriwa dola
elfu 106 .
Inajulikana kuwa Muhamad
Elshorbgy alipata majina
mawili tangu mwanzo
wa msimu huu
nayo ni Uchina
na Sanfanssko , Kabla
ya kushindwa fainali ya
michuano ya Marekani kwa
Skwashi mbele ya " Ali Farg " aliyeainishwa wa
kwanza ulimwenguni , na
aliaga michuano ya dunia
ya uomja tangu
robo fainali baada
ya kushindwa mbele
ya nduguwe mdogo
"Marawan Elsorbagy" .
Comments