Karim Abdel Gawad anamshinda Mohamed El Shorbagy na anapewa taji mashindano ya Chanel Faz kwa Skwashi
- 2019-11-26 16:13:07
Karim Abdel-Gawad, Mchezaji wa Al-Ahli aliyeainishwa kama mchezaji wa nne ulimwenguni kwa wanaume wa Skwashi , alipewa taji mashindano ya Chanel Faz itakayokaribishwa kwa Uingereza
thamani ya tuzo hadi dola elfu 106, inayoiweka
kwa viwango vya mashindano ya dhahabu.
Karim Abdel-Gawad amemshinda mwenzake Mohammed Shorbagi kama mchezaji wa pili ulimwenguni katika mechi ya fainali kwa jumla ya vipindi vitatu dhidi ya vipindi viwili katika mechi ngumu iliyochukua dakika 90, na tija za vipindi vinakuja kama hivi :
8-11, 11-3,
11-1, 10-12, 11-6.
Huyu ni
Abdel-Gawad atakuwa ameshinda taji lake la pili msimu huu, wakati ambapo hivi karibuni bingwa mmisri
alipewa taji la Mashindano ya kimataifa ya Misri kwa Skwashi
kilichofanyika huko Piramidi ya Giza, Baada ya
kumshinda Ali Farag ,Kama mchezaji wa kwanza ulimwenguni , Katika mechi ya
fainali.
inatajwa kuwa
mashindano ya Chanel Faz ni Mashindano ya sita katika msimu huu Baada ya
Mashindano ya Uchina, San Francisco, ambapo yalipewa kwa Mohammed Al-Shorbagi
na mashindano wazi ya Marekani yaliyopewa kwa ,
Ali Farag, kama mchezaji wa kwanza ulimwenguni, Na Mashindano ya
Kimataifa ya Misri, ambayo yalitiwa taji na Karim Abdel Gawad, Mwishoni
Mashindano ya dunia yaliyopa taji na Tarek Momen kama mchezaji ya tatu ya
ulimwenguni kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Comments