"Wizara ya vijana na michezo inaandaa Tamasha la sherehe za kimisri kwa siku ya Afrika".
- 2019-05-08 13:22:33
Kulingana na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika mwaka wa 2019,na tangazo la Raid Abd Elfatah Elsisi kwamba mji wa Aswan ni mji mkuu wa vijana waafrika, nchi za (Kongo Demokrasia, Morokko, Kenya, Mureshios, na Kameron), zilitangaza Ushirikiano wao katika sherehe za kimisri kwa siku ya Afrika, inayoandaa kwa wizara ya vijana na michezo kupitia Idara kuu ya Programu bure za kiutamaduni, na hiyo inaanzishwa toka siku ya jumamosi mwafaka 25 mwezi wa 5 mwaka wa 2019.
Na matukio ya Tamasha yanayokusanya kutekleza ukuta wa kiufundi unaoakisi roho ya Ushirikiano wa kiafrika, kati ya vijana wa nchi za kiafrika kwenye ukuta mmoja wa kituo cha vijana wa Algazira, na Uandaaji wa sherehe juu ya ukumbi wa michezo wa kiroma, kupitia Ushirikiano wa Orchestra ya wizara ya vijana na michezo pamoja na maonyesho ya kisanaa kwa mikusanyiko maarufu ya kisanaa, inayofuata kwa vituo vya sanaa katika mikoa, Tarehe ya 25,mwezi wa 5,mwaka wa 2019,kufanyika harakati za kimichezo kwa jumbe za kiafrika zinazokaa kwenye jamhuri la Misri ya kiarabu na wanaokuja toka nchi za kiafrika, na hayo yote kupitia Ushirikiano pamoja na idara kuu ya maendeleo ya kimichezo, na umoja wa kampuni, pamoja na kufanyika mashindano ya kiufundi ya kuchora picha ya kisanaa kwa mmoja wa waanzishi, hutangazwa kwenye ukurasa wa Aswan "Mji mkuu wa vijana wa kiafrika ", kwenye mitandao ya kijamii, na barua zilizotolewa kwa Balozi ili kushirikiana vijana wa nchi zote za kiafrika.
Vijana wa nchi za kiafrika wanashirikiana katika matukio ya Tamasha hilo pamoja na kuleta vazi la kitaifa kwa nchi, na bendera ya nchi kwa ukubwa wa 80×120 santimita, na kuleta shughuli za kazi za kijadi, na vyakula maarufu ndani ya kila nchi na kuleta shughuli ya kisanaa ikipatikana.
Pia matukio ya sherehe yanashuhudia kufanyika mikutano ya kiutamaduni kwa vijana wa mikoa ifuatayo:(Suez, Behera, Aswan, Por Saidi, Dakahlia, Sharkia, Menya, na Aleksandaria), ndani ya kila kituo cha vijana na michezo, tarehe ya 25,mwezi wa 5,mwaka wa 2019, na picha za wajumbe wanaoshirikiana katika sala ya Tarawiih kwenye msikiti wa Amr Bin Elias( msikiti wa kwanza uliojengwa barani Afrika, na wa nne katika Uislamu).
Na inayoamuliwa kuwepo Programu ya kiutalii kwa jumbe zinazoshirikiana, kulingana na matukio ya Tamasha, pia kifungua Kinywa kiujumla, kinachojumuika vyakula vya kijadi vya nchi zote zinazoshirikiana, na kuchanganiwa kwa Balozi za nchi za kiafrika zinazoshirikiana.
Comments