Baada ya kufikia Mafarao Olimpiki, wachezaji 29 na timu 6 za kimisri zipo mjini Tokyo mnamo mwaka 2020

 Timu ya kiolimpiki kwa mpira wa miguu ilihakiksha ndoto ya kufikia olimpiki ya Tokyo mnamo mwaka 2020 baada ya ushindi juu ya Afrika Kusini katika nusu  fainali ya nchi za kiafrika kwa vijana,  inayofanywa nchini Misri ,ili kuongeza idadi ya wamisri wanaounda kwa kikao cha michezo ya kiolimpiki .

 

Mpaka sasa ,wachezaji 29 walifainkia katika uhifadhi wa nafasi kwa olimpiki  ya Tokyo pamoja na timu 6 ,tutazitaja katika ripoti ifuatayo ..

 

1_Samy Abd AlRazak anahifadhi nafasi kwa  Misri katika olimpiki ya Tokyo katika mwaka wa 2020 baada ya ushindi wa  medali ya fedha ya silaha mita 10 kwa wanaume .

 

2_ Mohamed Ebrahim Kesho ambaye ni mchezaji wa timu ya mieleka alifikia baada ya kuhakiksha ngazi ya tano katika michuano ya ulimwengu .

 

3_Mndy Mhgob ambaye ni mchezaji wa timu ya mazoezi ya viungo vya miwili  na uundaji wake ulikuja baada ya kuchukua nafasi ya 17 katika michuano ya ulimwengu .

 

4_Abd Elkhalk Albana ambaye ni mchezaji wa timu ya kayaki ,uundaji wake ulikuja kwa medali ya dhahabu kwa mwisho wa kiafrika unaounda kwa olimpiki .

 

5_Ali Badwy ambaye ni mchezaji wa timu ya Meli iliunda baada ya kufuzu kwa medali ya fedha kwa michuano  ya kiafrika inayofikisha  olimpiki .

 

6_ Kholoud Mnsy ambaye ni mchezaji wa Meli baada ya ushindi wake kwa medali ya fedha katika michuano ya Afrika  .

 

7_ Ali Hassan ambaye ni mchezaji wa timu Kanoy na kayaki alifikia kupitia kikao cha michezo wa kiafrika baada ya kushinda medali ya shaba kwa mbio za mita 200 baada ya kurejea Afrika Kusini nafasi yake .

 

8- Sama Ahmed ambaye ni mchezaji wa Mtumbiwi na Kayaki alifikia kutoka kikao cha michezo ya kiafrika baada ya kushinda medali ya shaba kwa mbio mita 200 baadaya kurejea Afrika Kusini kutoka upendeleo mwenyewe .

 

9_ Mayar Sharif ambaye ni mchezaji wa timu ya Tenisi  uundaji wake ulikuja baada ya ushindi kwa medali ya dhahabu ya kikao cha michezo ya Afrika  .

 

10_ Mohamed Safwat ambaye ni mchezaji wa timu ya Tenisi  baada ya kutawazwa kwa medali ya dhahabu ya kikao cha michezo ya kiafrika .

 

11_ Ali khalf Allah ambaye ni mchezaji wa timu ya kuogolea alifikia kupitia michuano ya ulimwengu .

 

12_ Haidy Adel ambaye ni mchezaji wa timu ya pande tano ya kisasa

 baada ya  kutawazwa kwa dhahabu ya michuano  ya kiafrika .

 

 

13_Sharef Nazer ambaye ni mchezaji wa timu ya pande tano ya kisasa alifikia baada ya kutawazwa kwa medali ya dhahabu ya michuano  ya kiafrika .

 

14_Ahmed Zahar ambaye ni mchezaji wa timu ya risasi baada ya kutawazwa kwa medali ya fedha kwa kombe la dunia .

 

15_ Azamy Mhelbh ambaye ni mchezaji wa timu ya risasi ya uundaji bada ya ushindi wa medali ya shaba katika kombe la dunia linalofikisha kwa olimpiki .

 

_16 na 17  ni viti vya moja kwa wanawake wa Tenisi  ya meza .

 

_18 na 19  ni viti viwili katika moja wa wanaume wa Tenisi  ya meza .

 

20,21,22 _viti 3 kwa Uendeshaji wa Farasi katika shindano moja .

 

23_ Abd Alazizi Mhelbh anahifdhi kiti kwa Misri katika olimpiki ya Tokyo 2020 baada ya ushindi wa medali ya dhahabu katika mashindano (Vumbi ) katika michuano ya Afrika  kwa risasi .

 

24_ Magy Elashmawy anashinda medali ya dhahabu ya shimo (udongo ) katika michuano ya Afrika  kwa risasi nchini Algeria .

 

25_ Yousef Helmy anafikia Tokyo kwa numba ni mchezji bora zaidi kuliko mbingwa wa ulimwengu mwaka wa 2018 .

 

26_ mchezaji mmoja katika mashindano ya upinde na mshale moja kwa wanaume .

 

27_ mchezaji katika wanawake wa kibinafsi .

 

28_ Shimaa Hashad ambaye ni mchezaji wa timu kwa risasi baada ya ushindi kwa medali ya dhahabu ya michuano  ya Afrika  ya mashindano mita 10 ya silaha .

 

29_ Hamada Talat ambaye ni mchezaji wa timu ya risasi baada ya ushindi wa dhahabu ya mashindano ya silaha mita 50 katika michuano ya Afrika  kwa risasi .

 

Kuhusu timu, timu zifuatazo zilifikia  :

 

1_ timu ya mpira wa  miguu kwa vijana chini ya mwaka 23 baada ya kufikia finali ya michuano ya Afrika  .

 

2_timu ya Tenisi  ya meza kwa wanawake katika mashindano ya timu kupitia kikao cha michezo ya kiafrika .

 

3_ Timu ya Tenisi  ya meza kwa wanaume katika mashindano ya timu kupitia kikao cha michezo ya kiafrika .

 

4_ timu ya kuogolea inajumuisha mchezaji 8 ,kupitia kuchukua uuanishaji bora zaidi wa kiafrika katika michuano  ya ulimwengu .

 

5_ Timu ya Uendeshaji Farasi  baada ya ushindi katika mwisho wa Afrika  unaofikisha .

 

6_ wawili wachanganya  kwa upinde na mshale .

Comments