Waziri wa vijana na michezo anaheshimu timu za kitaifa ya Mpira wa Kikapu zilipata nafasi ya kwanza kwenye Mashindano kwenye Hafrika

Dokta Ashraf Sobhy  ,Waziri wa vijana na michezo , aliwaheshimu wachezaji wa timu za kitaifa za Mpira wa Kikapu waliokuwa wanaume ,wanawake ambao ni vijana walioshirikia mashindano ya kiafrika nchini Cape Verde,Uganda na Rwanda .Na walipata medali kupitia mashindano hayo.

Timu hizo zikiwemo timu ya Misri  iliyochukua nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya wanaume wa vijana  ya kiafrika ya Mpira ya Kikapu chini ya  umri wa 16 yaliyofanyika mwezi  uliopita wa Julai kati siku za 5 na 16 nchini Cape Verde,yaliyofikia mashindano ya dunia mwaka 2020 , na timu yaliyopata nafasi ya pili kwenye mashindano ya wanawake wa vijana ya mpira w kikapu chini umri ya 16 yaliyofanyika tarehe ya (6/8-24/7)nchini  Rwanda na yaliyofikia mashindano ya dunia 2020.

Na pia timu ya kitaifa iliyopata nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya kiafrika ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake wa vijana chini umri ya 18 ,na pia iliyopata nafasi ya tano kwenye mashindano hayo ya vijana chini umri ya 18 yaliyofanyika mnamo mwezi uliopita  wa Novmbe kati  za 8-11 nchini Uganda .

Waziri wa vijana na michezo alisifu maendelezo yaliyohakikiwa kwa mchezo wa mpira wa kikapu, akisisitizia kuwa wizara inashughulikia michezo yote na uungaji mkono na kila mafanikio ya kimisri . lilitoa kila uwezo wa fedha na maadili kwa ajili ya kupata medali na kuonekana vizuri . pia akisifu juhudi za shirikisho la kimisri la mpira ya kikapu kwa kiongozi cha Dokta Magdy Abu Frikha kwa sababu aliboresha mchezo huo na aliumba timu kwa viwango vyote vya umri kwa viwangu vigumu vinavyoweza kushindana .

Sobhy  alitoa hongera kwa wechezaji na wafanyakazi wa kifundi na kiidara . Na alielezea furaha yake kuhusu kikundi kilichoangaziwa kilichovumilia jukumu  hilo na kilihakikisha mafanikio kwa michezo ya kimisri

Comments