Shirikisho la Kimataifa la mchezo wa silaha lilimheshimu Mohamed Hamza ambaye ni mchezaji wa kwanza wa dunia

 Shirikisho la Kimataifa la  silaha lilimheshimu mchezaji wa timu ya kitaifa ya silaha ya Uzio Mohamed Hamza,kwani alichukua nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya mchezo wa Uzio kwenye mkutano uliofanyika mjini Lausanne nchini Uswizi.

Abdel Moneim Alhusayni ambaye ni ,mwenyekiti wa shirikisho la silahi , alitangaza kwamba nchi ya Misri  ilipata nafasi ya kuandaa mashindano ya silaha ya dunia  ya watu wazima ya silaha zote za mwaka wa 2021, na hiyo kwa idhini ya wengi, kwa sauti 126 kwenye Mkutano wa Umoja wa Kimataifa

Na kwa hivyo , kwa mara ya kwanza kwenye historia ,Misri itaandaa mashindano mawili ya silaha mnamo mwaka mmoja, ambapo Misri ilipata pia nafasi ya kuandaa mashindano ya kimatifa ya vijana mwaka wa 2021.

Abdel Moneim Alhusayni ambaye ni , mwenyekiti wa umoja wa silaha alitoa hongera kwa Rais Abd EL-Ftah El-Sisi na waziri wa vijana na michezo. Na akiashiria msaada uliotolewa na nchi ili kuboresha michezo ya Misri na pia kamati ya Olimpiki kwa kiongoza cha Hesham El-Hatab.

Comments