waziri wa michezo na mshauri kwa rais wa jamhuri wakishuhudia hafla ya ufunguzi wa kipindi cha mwisho ya olimpiki ya mikoa ya mipaka huko Hurdhada
- 2019-12-01 13:05:21
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo na Meja jenerali Ahmed Gamal El din mshauri wa rais wa jamhuri ya maeneo ya mbali na mipaka na Dokza Yosra Atti naibu wa gavana wa Bahari nyekundu hushuhudia hafla ya uzinduzi wa hatua ya mwisho ya olimpiki ya michezo kwa mikoa wa mipaka katika ukumbi uliofunikwa huko Hurghada , inatekelezwa kwa wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na shirikisho la shule ya kimisri na shirikisho la utamaduni wa michezo ya Misri
michezo hiyo ( olimpiki ) itashirikiana na wachezaji 650 kutoka mikoa : Bahari Nyekundu , Aswan , Marsa Matrouh , El wadi Elgadid , Sinai kusini na Sinai kaskazini mashindano yataendelea hadi Desemba 2 ijayo
aliongeza kuwa mashindanohaya yanalenga kukuza maeneo ya mipakani , na kufanya kazi kuongeza kanuni ya mazoezi ya michezo kwa wana wa mikoa hiyo kuhakikisha uwakilishi wa watoto wao katika shughuli nyingi za michezo zinazotekelezwa na wizara ya vijana pamoja na ugunduzi wa talanta na udhamini katika miradi na programu za wizara
waziri wa vijana na michezo alithibitisha kwamba mkutano huu unakuja ndani ya mfumo wa dhamira ya wizara ya vijana na michezo kutekeleza malengo ya kitaifa ya nchi kupitia utoaji wa programu na shughuli za michezo na pia utoaji wa huduma za michezo kwa kila sehemu ya jamii ya kimisri hasa katika mikoa ya mipaka inachangia usambazaji wa tabia chanya kwa vijana
meja jenerali ahmed gamal el din alifikisha salamu za rais abdel fattah el sisi kwa washiriki wote katika olimpiki ya mikoa ya mipaka aliongeza kuwa mradi huu utatekelezwa kila mwaka katika mikoa ya mipaka kwa uratibu na ushirikiano na mamlaka zote zinazohusika
waziri wa vijana na michezo alisema kwamba nchi hushuhudia maendeleo katika sekta zote na huduma na miradi iliyo chini ya uongozi wa rais abdel fattah el sisi , yeye ni mshauri na aliyejitolea kwa watu wa misri katika mikoa wote asante na shukrani kwa meja jenerali ahmed gamal eldin kwa ushiriki wake katika ufunguzi wa shughuli za olimpiki za mikoa ya mipaka na hamu yake ya kuunga mkono mikoa ya mipakani
katika muktadha huu , mshauri kwa rais wa jamhuri kwa maeneo ya mbali na ya mipaka alimshukuru waziri wa vijana na michezo kwa juhudi zinazofanywa katika uwanja wa mipango na miradi inayotolewa kwa watu wa mikoa ya mipaka , alizungumzia umuhimu wa kukuza uhamasishaji wa vijana na elimu kupitia miradi mingi ni pamoja na mikutano ya vijana
inafaa kutaja kuwa mpango wa kipindi cha mwisho ya olimpiki ya mikoa ya mipaka ulianza mashindano yake katika viwanja vitatu : ni uwanja wa jiji ya vijana , klabu ya michezo ya bahari na ukumbi uliofunikwa huko Hurghada na ushiriki wa wana wa mikoa ya Bahari Nyekundu , Aswan , El Wadi El Gedidi , Marsa Matrouh , Sinai kusini na Dinai kaskazini
kwa upande wake , Dokt Yousra Attia naibu wa gavana wa mkoa wa Bahari Nyekundu amkaribisha mshauri wa rais na waziri wa vijana na michezo alisema kuwa olimpiki ya mkoa wa mipaka wa mwaka wa 2019 , inakuja ndani ya mfumo wa dhamira ya serikali ya kuendeleza maeneo ya mipaka pia inakusudia kuongeza msingi wa mazoezi ya michezo kwa watoto wa mikoa hiyo , kuhakikisha uwakilishi wa watoto wao katika shughuli nyingi za michezo zinazotekelezwa kwa wizara ya vijana na michezo
sherehe ya ufunguzi ilianza na foleni ya maonyesho ya mikoa inayoshiriki kipindi kifani cha orchestra au Bendi ya wizara ya vijana na michezo kwa kuongeza maonyesho ya kisanii na maarufu kwa watu wa mikoa ya mipaka
ziara hiyo pia ni pamoja na kukagua mradi wa " iji kamp " kufundisha na kukuza ustadi katika mfumo wa kuimarisha maadili ya uaminifu na hiyo huko klabu ya michezo ya bahari
kwenye kando ya mashindano hayo , Dokta Ashraf Sobhy na Meja jenerali ahmed gamal el din walisimamia miradi hiyo kando na mpango wa olimpiki wa mikoa ya mipaka kwa kutazama shughuli za ligi za kamati za michezo zilizoandaliwa kwa wizara ya vijana na michezo katika michezo ya mpira wa miguu na tenisi ya meza
mkutano huo ulihudhuriwa na Meja jenerali Ismail Al mbali naibu wa wizara rais wa utawala mkuu wa maendeleo ya michezo , naibu wa wizara rais wa utawala mkuu wa vijana Ezat Al dari , naibu wa wizara rais wa utawala mkuu wa programu ya utamaduni na kujitolea
waziri wa michezo na mshauri wa rais walishuhudia baadhi ya mashindano ya olimpiki katika mpira wa miguu - tano , mpira wa miguu ya pwani , mpira wa pwani , mpira wa mikono , tenisi ya meza katika mji wa vijana katika Hurghada
pia walikagua maonyesho ya kazi za mikono na kazi kadhaa za sanaa kwa watu wa mikoa ya mipaka
imepangwa kushuhudia waziri wa vijana , kesho asubuhi jumamosi , shughuli za tamasha la kutembea kwa washiriki wote inaanza kutoka kwa Aquafan kupitia katika barabara ya Dheraton kwenda Marina ya watalii hii itafuatwa na semina iliyoitwa uwanja mkubwa
shughuli hizo zitakamilika jumapili , programu hiyo itahitimisha na wajumbe wataondoka jumatatu
Comments