Alhusynii anampongeza rais kwa ushindi wa Misri kwa kuandaa michuano ya dunia kwa silaha

 Rais wa shirkisho la silaha Abd Almouniem El husynii alitoa hongera kubwa kwa rais Abd Elfatah Elsisi na huu baadaya mafanikio makubwa kwa kupatia heshima ya kuandaa kwa michuano ya ulimwengu kwa silaha kwa wakubwa katika mwaka 2021 .

 

Pia Elhusynii alitekeleza hongera kwa Waziri  wa vijana na mchezo Dokta  Ashraf Sobhy na  mwentekiti wa kamati ya kiolompiki Heshim Hatab kwa zamu zao na kuhimiza kwao kwa ushindi kwa uandaaji huo .

 

Elhusynii alisema kuwa Misri ilikuwa nchi ya kwanza katika ulimwengu inayochukua kuandaa michuano miwili ya ulimwengu mnamo mwaka mmoja kiasi kwamba itakuwa uandaaliji wa mIchuano ya ulimwengu kwa vijana katika mwezi wa Aprili mwaka wa 2021 na baadaya michuano ya ulimwengh kwa wakubwa inasudia kuwa ulimwengu wote ni wakubwa na wadogo itakuwa mgeni nchini Misri mnamo mwaka huu .

 

Aliashiria kusema kuwa mamba yaliyotokea katika jumuiya kuu kwa shirkisho la kimataifa kwa silaha ambyo imehudhuriwa na mwenyekiti wa kamati ya kimataifa cha kiolompiki Tomas Bakh anatia kwa fahari kiasi kwamba aliunga mkono Misri ni nchi 126 pia alikataa nchi nne na nchi tatu nyingine inamaanisha haki ya Misri kwa upigaji kura .

 

Aliongeza kusema kuwa kazi ilanza sasa ili kuandaa kwa mchakato mzito huu ambao umeshaandaa ili kutoa picha nzuri sana ili tunasistiza kupitia kwake juu ya uongozi wa kimisri katika mchezo wa kimataifa .

Comments