Baada ya kutokuwepo kwa miaka 72.. Misri inakaribisha michuano ya dunia ya watu wazima kwa silaha 2021
- 2019-12-01 13:14:43
Misri imeweza kukaribisha michuano ya dunia ya watu wazima kwa silaha 2021 inayozingatia michuano kubwa zaidi duniani katika tarehe ya silaha, hiyo baada ya jumuiya kuu ya shirikisho la kimataifa imefanyika ili kuchagua nchi itakayopokea heshima ya uandaaji wa michuano hiyo ambayo inajumuisha kundi kubwa la mabingwa wa dunia wenye ujuzi, tija imekuja kwa idadi ya sauti ya mataifa 126 kwa silaha za Misri.
Kwa hivyo, Misri inakuwa nchi ya kwanza inayopokea heshima
ya uandaaji wa michuano mbili katika mwaka huo huo, na hiyo ni michuano ya
dunia kwa vijana na michuano ya dunia kwa watu wazima 2021, na hiyo ni tukio lisilo
la kawaida.
Uchaguzi wa Misri ili kuandaa michuano hiyo inakuja ili
kuwahi uangalifu wa rais wa Jamhuri ya Misri Abd Alfatah Elsisi kwa michezo
yote na kiasi cha imani kubwa katika uwezo wa Misri juu ya uandaaji wa michuano
ya kimataifa na ya dunia.
Hii inakuja katika mfumo wa kuunga mkono ambapo wizara ya
vijana na michezo chini ya uongozi wa Dokta Ashraf Sobhy inatoa kwa miuungano
ya michezo na uwezo wake juu ya ushindani wa kimataifa, na kujali kwa kuwezesha
vizuizi vyote ambavyo vitazuia mafanikio, kufikia ulimwenguni pamoja na
kuonyesha usalama katika Misri.
Katika muktadha huo huo, Dokta Abd Almoneem Alhusseny ambaye
ni mwenyekiti wa shirikisho la silaha ametoa shukrani kwa Dokta Ashraf Sobhy
kwa kuunga mkono kwake kwa suala la
Kimisri na kujali kwake kwa ufuatiliaji wa maelezo na maendeleo yote
yaliyomalizika kwa ushindi wa Misri kwa
uandaaji wa michuano miwili ya kidunia katika mwaka mmoja, hasa kwamba michuano
hiyo haikuandaliwa nchini Misri tangu miaka 72, tangu enzi ya mfalme wa Farouk,
mwaka 1949.
Comments