Udhamini wa Nasser kwa Uongozi upo miongoni mwa shughuli za programu ya wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika

Wakati wa shughuli za programu ya wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika katika toleo lake la kumi, inayoteklezwa kwa Wizara ya Vijana na Michezo (Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia, na Elimu ya kiraia) na Kameshina ya Umoja wa kiafrika, chini ya usimamizi wa Mheshemiwa Rais wa Jamhuri, hufanyika kikao cha kimazungumzo kinachohusu mchango wa Misri katika kuunga mkono Uhuru wa nchi za kiafrika, nacho kilitolewa na Balozi Muhamed Nasr El din -Mkuu wa Jumuia ya kiafrika - akiashiria mchango wa Abd Elnasser katika kuunga mkono Umoja wa kiafrika, na yaliyofanyika mnamo zama za enzi yake kutoka mchanganiko na kina ya kimikakati ndani ya bara la kiafrika, ikiathiri chanya kuimarisha mahusiano ya kimisri kiafrika na kuzidumu athari zake hadi sasa.

Comments