Bingwa Mmisri " Ahmed Adly " mchezaji wa Wadi Degla la Chesi aliheshemiwa kwa michuano ya dunia ya vijana iliyofanyiwa nchini Islanda . Michuano hiyo inazingatiwa kuwa mwanzo wa kuwaheshimu mabingwa wa dunia waliotangulia kuheshemiwa kwa michuano ya dunia ya vijana .
Adly alipata nafasi ya kwanza na jina la bingwa wa mabingwa wa michuano ya dunia ambapo mchezaji wa Degla alikuwa ameheshemiwa kabla ya mwaka 2007 .
Vilevile , bingwa wa Kimisri aliweza kupata medali za dunia tano , medali za Kiafrika 21 na medali za kimataifa 124 wakati wa msimu uliopita tu pamoja na medali za kidhahabu tatu wakati mashindano ya Kiafrika katika msimu huu .
Ahmed Adly alikuwa amepata medali tatu kutoka nane zilizopatwa na mafarao wa Chesi katika duru ya michezo ya Kiafrika iliyopita na iliyofanyiwa nchini Morocco , ilikuja kwa mujibu wa medali mbili za kidhahabu na nyingine ya kifedha .
Comments