Wizara ya Umwagiliaji inapanga programu kwa mwanafunzi wa Afrika 19 nyanja ufanisi wa kutumia maji

Dokta Rajabu Abdelazim mwakili wa wizara ya umwagiliaji na matumizi ya maji alifunguza ufanisi wa programu wa mafunzo nyanjani mwa ufanisi wa kutumia maji na mfumo wa umwagiliaji wa kisasa ,siku ya jumapili ili kufundisha mwanafunzi 19 nchini(Kenya,Tanzania,Ghana,Ethuopia,Zambia,sudan,Sudan kudini ,Malawi)na itakayoendelea kwa wiki 6.

Mpango huo unalenga kwa kutoa mwangaza kwa mfumo wa umwagiliaji wa kisasa na kushiriki wanaofaa kwenye matumizi ya maji kwa mfereji mkuu na sehemu ,na mifumo ya maendeleo ya umwagiliaji na kurejea upya matumizi na ugunduzi maji ya takataka ya kilimo na hivyo kupitia na mhadhara wa kinadhari na ziara ya tofauti ya kisayansi.

Wizara ya umwagiliaji ilisema kwenye tamko la habari ;kwamba umuhimu wa pango inakuja kutoka ni maudhui moja inayotoa umuhimu kwa kupunguza matumizi ya maji , wakati wa kuongeza ombi la maji na hakuna vyanzo vya maji tamu katika maeneo kadhaa.kwa hivyo lazima kuweka mkakati na mipango ya kufanya kazi na juhudi ya kuendelea endelevu na uchumi wa maji kwa matumizi mengi ya kitaifa na kimataifa.

Na tunaashiria kwamba mpango huo utatekeleza na ushiriki kati ya wizara ya mambo ya nje ya kimisri inayowakilisha kwenye shirika la kimisri kwa ajili ya maendeleo,na shirika la ushirikiano ya kimataifa ya Jabani "Jayaka"
Na sekta ya mafunzo ya taifa kwa vyanzo vya maji na umwagiliaji.

Na hili inakuja kwenye sehemu ya shughuli za sekta ya mafunzo kuunga mkono ushirikiano na dola za Afrika kwa jumla.na khasa dola za mto wa Nile ,katika nyanja za mafunzo na kujenga uwezo ili kupambana changamoto ya maji katika dola za bara la Afrika, inayoambatana na mpango wa Misri ya taifa kupitia na kuongeza Misri kwa shiriko la Afrika.

Comments