Tarek Moamen anaandaa kuwakilisha Misri Michuano ya dunia kwa timu ya Skwashi Marekani

Tarek Moamen nyota wa timu ya Misri kwa Skwashi aliyepata kwa nafasi ya tatu duniani aliandaa kushiriki kwenye ubingwa wa dunia kwa Skwashi na itakayofanyika mjini Washonton ya Marekani katika kipindi 15 hadi 21 mwezi wa Desemba ujayo. Na hivyo baada ya alishinda katika ubingwa wa dunia kwa wanaumwe itakayofanyika mjini mkuu ya Katar Aldoha, na pamoja naye Ali Farag alipata nafasi ya kwanza na Karim Abdelgawad aliyepata nafasi ya nne duniani na Abo Alghar aliyepata nafasi ya nane. Ambapo bingwa Moamen alishinda kwa ubingwa wa dunia kwa Skwashi kwa wanaume 2019-2020 ,ambapo alishinda kwa mabao matatu nadhifu kwa wenzake wanazolenda poal Koal katika mechi nusu ya finali iliyoendelea kwa dakika 39 uwanjani shekhy Khalifa. Na inajulikana kwamba tuzo itafika kwa dola elfu 355.


Tarek Moamen alisisitiza kwenye taarifa yake "Cheo cha michuano ya dunia na mwanzoni mwa sehemu mpya katika maisha yake ya michezo na hii kama ndoto kwangu tangu udogo. Na mimi najivunia sana kwa kushiriki ya Misri kwenye kiwango ya juu ya kimataifa kwa mchezo wa Skwashi . Ushindi huo ulinipatikana kuwakilisha Misri kwenye ubingwa wa dunia kwa wanaume wa Skwashi , naamini kwamba nitafanya juhudi kubwa ili kuheshima Misri mara nyingine duniani."
Ikisemwa kwamba Tarek Moamen alihitimu kitivo cha uhandisi ya kielektroniki chuoni kikuu cha Marekani mjini Kairo . Lakini hamu yake daimu ilikuwa kwa mchezo ya Skwashi na mchezo hii ulikuwa lengo lake kuu kufikia fainali ya kwanza ya kimataifa. Na kweli alifaulu katika kufikia kiwango cha 20 ya kimataifa mwezeni Agosti mwaka 2010 kisha kusherehe kwa kufikia fainali ya kumi mwezeni Aprili mwaka 2013. Mwisho alifika kwa kiwango cha juu ya kimataifa mwaka 2019 na huyu ni ya tatu ulimwenguni . Kama alipata ubingwa kadhaa kama ubingwa wa Mako kwa Skwashi mwaka 2014, ubingwa wa kwalalambor kwa Skwashi mwaka 2012, ubingwa wa Malezia kwa Skwashi .
Moamen alisisitiza "kwamba historia ya mchezo wa Skwashi duniani inashuhudi kwa uwezo wa wachezaji na daimu kwenye orodha ya mbele kwa wachezaji bora duniani " ambapo wachezaji kutoka jinsi mbili za Misri waliendelea kwenye kushinda ubingwa wa dunia mwanzoni mwa ya mpya , ambapo walipata mashindano na fanikio haifanywi kwenye chezo nyingine. Wamisri ni wafalme wa mchezo hii na daimu wanapata nafasi ya kwanza ya kimtaifa.

Tarek Moamen aliyefika umri 31 naye uzoefu uwanjani wa michezo ilifika kwa miaka kumi na nne ambapo anamiliki katika historia yake alishinda kwa mechi 264 miongoni mwa mechi 421. Pamoja na kushiriki kwenye mechi 162 na alifika kwa mechi 25 ya fainali.

Comments