Mshauri Hamda El_Sawy ambye ni naibu mkuu kwa jamhuri ya Misri ya kiarabu aliongoza vikao vya mkutano wa kila mwaka 14 na jumiya mkuu ,mikutano ya kamati ya utendaji na kamati ya mkakati kwa jumuya ya wabunge wakuu wa Afrika inayofanyawa mjini Kigali ni mji mkuu wa Rwanda ,kwa ushirki wa ujumbe wa kiwango cha juu kutoka wajumbe wa mashtaka ya umma kwa ofisi ya kiufundi kwa naibu mkuu na Ofisi ya ushirkiano wa kitaifa ,kiasi kwamba matukio ya mkutano
yanaendelea na mikutano ya siku nne .
Naibu mkuu alifanya mkutano wa kamati ya utendaji kwa jumyia kwa uongozi wake na kuhudhuria kwa waziri wa uadilafu kwa nchi ya Rwanda na wabunge wakuu kwa nchi Rwanda ,uganda, Zambia na Afrika Kusini na wakilishi wawili kwa mashtaka kuu wa Msumbji ,Angola ,Kenya na Nambia .
Aliongeza tangu uongozi wa mashtaka kuu ya kimisri kwa jumya katika mwaka uliyopita ilitafuta kwa kuandaa matukio yanalenga kuinua ujuzi wa wajumba wa mashirka ya mashtaka katika bara la kiafrika kupitia ujuzi wa kisheria kwa mifano mipya kwa uhalifu na kuandaa jukwaa ili kubadilishana uzoefu wa kweli kati yao ,pia ilitafuta kwa kutia saini makibliano ya uelewa wa pande mpili na pande ya ngeni kwa ajili ya kupatikana njia za kidumu ili kubadilishna uzoefu wa kitaifa na kutolewa uzoefu wa kifundi lazima kwao ,mwishoni hotuba inatolewa mpango kwa mashtaka kuu ya kimisri kwa kuzoeza wajumbe wa mashirka ya mashtaka barani Afrika katika nyanja tofauti za kisheria mkaoni chuo cha mashtska ya mkuu ya kimisri ili kuzoea na tafiti za Jenia mkoani Kairo .
Naibu mkuu alisema katika hotuba yake kuwa mashtaka kuu inatilia kudumu juu ya ushirki katika mikutano yote ya wabunge wakuu wa Afrika kwa sbabu inazingatia jukwaa inakisanya kundi tofauti kutoka wanaotekleza sheria mahakimu barani Afrika ,akisistiza kuwa jumyia ya wabunge wakuu wafrika ilithibitisha kupitia maandamno yake ni mfano nzuri kwa ushirkiano kati ya nchi za bara na jukwaa kwa kubadilishana uzoefu na mazoezi mazuri katika kupambana uhalifu .
Mkutano ulishuhudi kutia saini makabiliano ya uelewa wa pande mbili kati ya taasisi ya wabunge wakuu wafrika na shirka la uhamiaji wa kitaifa .
ا
Imetajwa kuwa mashtaka kuu ya kimisri yanashirki katika vikao vyote vya mkutano kwa maonesho ya kutelwa na kutalumaa katika idadi ya uhalifu ni mashahuri zaidi usaliti wa bindamu na kuteleza wahmiaji ,na kuonesha kupitia kwake jaribu la kimisri katika nyanja wa kuhakiksha na mashtaka ya jenia
Comments