Kwa mwaka wa tatu mfululizo wizara ya vijana na michezo inapanga " nambari ya Afrika " kwa wanawake ambao ni wafanyabishara


Wizara ya vijana na michezo hasa idara mkuu ya miradi na Mafunzo ya Vijana inapanga programu ya "nambari ya Afrika " kwa wanawake ambao ni wafanyabishara kutoka (Misri , Senegal , Cameron na Mali) Kwa kushirikiana na programu wa maendeleo ya umoja wa mataifa (UNPD) , kampuni ya Microsoft na Shirika la Francophonie na hivyo ni katika kituo cha elimu ya jamii katika Elgazira kupitia kipindi cha 5 hadi 11 mwezi huu wa desemba

Na Bibi Manal Youssef mkuu wa idara mkuu wa miradi na mafunzo ya vijana alisisitiza kwamba programu ya "nambari ya Afrika" inawajali wanawake ambao ni wafanyabishara kupitia
Kufanyika kwa Kozi za Usimamizi wa Dijiti ili kubadilishana maelezo na ujuzi ili kwenda mbele ili kuitekeleza idadi kadha ya miradi ya ubunifu na Kutafakari upya mawazo yanayozunguka

Meneja wa mambo ya Shirika la Francophonie alisisitiza kwamba Misri ina nia ya kufanya makongamano mengi na vijana wa dunia na kupitia urais wake wa umoja wa Afrika , serekali ya misri Inatoa umakini kwa vijana wa bara la Afrika ambao haujawahi kufanywa ambapo hivi sasa kozi zenye mafunzo zinafanywa na makocha wamisri kwa vijana waafrika na Misri alijitahidi sana ili kufanya kazi kwa njia yenye uwiano ili kubadilishana ujuzi baina ya nchi za kiafrika
Na katika hotuba ya balozi katika wizara ya mambo ya nje Ibrahim elkholi

Na wawakilishi wa kampuni ya Microsoft kwamba Afrika ni mustakabali wa ulimwengu na litaibuka kushikamana na nchi zilizoendelea na kwamba vijana wanaweza kubadilisha njia " maendeleo , uchumi , mazingira na hali ya hewa "
Na shughuli za leo zinajumuisha kufanya Mazungumzo ya maingiliano pamoja na ushiriki juu ya malengo ya maendeleo endelevu na kimechohakikishwa miongoni mwake nchini mwa kiafrika ambapo wahadhiri walisisitiza kwamba malengo yale hayakuhusu serikali tu lakini jambo muhimu zaidi ni kugeuza tamaduni za watu na kufungua kwa miradi na majaribio mazuri katika nchi zinazoendelea na nchi jirani ili kufaidika kutoka ujuzi mbalimbali na kuepuka fikra za kijadi na kufikia kwa fikra za ujasiriamali ili kuibuka bara la Afrika na walisisitiza pia umuhimu wa kutambua programu ya ujasiriamali na Teknolojia ya habari na mazungumzo yanajumuisha
kubuni mawazo "design thinking "ili kujaribu kutatua matatizo kwa fomu ya ubunifu inayosaidia kutambua changamoto , kuzibadilisha kwa fursa za kibiashara na kuzalisha mawazo ya kiuwekezaji ya ubunifu kwa bara la Afrika na hasa kwamba kuna
Kufanana kuu kati ya changamoto na fursa zinazopatikana katika nchi zote za kiafrika

Na mazungumzo yalitaja programu za kiteknolojia na maombi yanayopatikana katika kila nchi ya kiafrika na zinazosaidia katika Kutatua matatizo mengi ya kijamii kama " Maombi ya Kuripoti Ukatili wa Ndoa , kutoa ushauri na misaada kwa wanawake wajawazito mashambani na kuna maombi ya kuingia kati hospitalini , kutafuta kazi na mengine ya Kurekodi ujumbe wa sauti ili kuwasaidia wale wasiojua kusoma na kuandika kama waliashiria Maombi ya kielimu kwa watoto ambao hawakwendi shuleni

Comments