"Umoja wa Tenisi Meza unatia saini mkataba wa Ualimu pamoja na kampuni ya kihindi"

Bwana Moataz Ashur"Mkuu wa Umoja wa Tenisi Meza" pamoja na bwana Fifk"Mkuu wa kampuni ya ya kimataifa ya ESTAG kwa Vifaa vya kimichezo" wametia saini mkataba wa Ualimu mpaka mwezi wa Desemba 2020 kwa kiasi cha Dola laki mbili (200,000).

 

Utiaji saini huu ulihudhuriwa na Khaled Elsalehy"Rais wa Umoja wa kiafrika kwa Tenisi Meza", mshauri Halek Elhanafy, Muhamed Nour, na Ali Hamed ambao ni wanachama wa Bodi ya wakurugenzi wa Umoja,  na Ahmed Elsayed "Mkurugenzi mtendaji".

 

Na vifungu vya mkataba huu vilikusanya mavazi ya kimichezo kwa timu na vyombo vya michezo (Meza- Nyundo- Mipira), pia kutosheleza mahali pa kufanya makambi ya nje kwa timu na kufanya Itifaki ya Ushirikiano pamoja na nchi zinazoshikiliwa kwa kampuni ili kubadilishana makambi ya pamoja na nchi zinazoshikiliwa kwa kampuni.

 

Na wachezaji bora barani Afrika waliheshimiwa nao ni: Dina Mashrf, Ahmed Saleh, Mariam Elhedeby, Marwa Elhedeby, Mahmud Ashraf Helmy, na mchezaji wa kiume na wa kike bora zaidi ni Fatma Alaa,  na Muhamed Shuman.

 

Na sehmeu y kiufundi "Maged Ashur na Ashraf Helmy" waliheshimiwa, pia wanachama wa tume kwenye Umoja wa kimataifa "Galal Omar tume ya waanzalishi", "Muhamed Refat Basiuny Refarii", "Nabil Elmaamun Tume ya masharti", "Heba Hamed Mwanachama wa Bodi ya Uongozi wa tume ya kimatangazo", na Ahmed Saleh "Mchezaji wa klabu ya Enby na timu ya Misri ametia saini mkataba wa Ualimu pamoja na kampuni yenyewe.

Comments