Timu ya kitaifa ya wanawake inakabiliana na timu za Algeria,Tanzania na Burkin Faso kwenye mashindano ya Afrika Kaskazini

Shirikisho la Soka lilipata kutoka shirikisho la soka la Afrika Kaskazini  barua kuhusu mechi za timu ya kitaifa ya kimisri ya wanwake kwa Soka chini ya umri  wa 20 kwenye Mashindano ya Afrika Kaskazini  yatakayofanyika nchini mwa Algeria  .

Na mechi ya kwanza ya timu ya kitaifa itakabiliana na  timu ya Algeria terehe ya mwezi huu wa Desemba siku 22 . Halafu itakabiliana na  timu ya Tanzania kwenye siku ya 24 . Na mechi ya mwisho  itakabiliana na timu ya Burkin Faso kwenye siku 26 ya mwezi huo huo .

Na wafanyikazi wa ufundi wa timu ya kitaifa ya kimisri ya Soka  chini ya umri 20  walikubaliana kwa watashiriki kwenye mechi za urafiki za Mashindano ya Afrika Kaskazini zilizopangwa kufanyika nchini mwa Algeria kwenye mwezi huu siku ya 22 . ambayo ni ndani ya maandalizi ya timu ya kitaifa kwa wahitimu wa Afrika walioandaa  Kombe la Dunia chini ya umri wa 20.

Shirikisho la Kiafrika la Soka lilikuwa limechota kura ya wahitimu wa kombe la Afrika lililoandaa  Kombe la Dunia chini ya umri wa 20. Na litakalofanyika kwa mfumo wa iliyoshindwa itaondoka . na matokeo yake yalikuwa ni timu ya Misri itakabiliana na timu ya Algeria.

Na Shirikisho la Kiafrika liliweka terehe ya mechi ya kwenda nchini mwa Misri itakuwa siku moja ya Januari ujao  17,18,na 19 . na mechi ya nyuma itakuwa nchini Algeria mnamo terehe ya 31 Januari na siku moja ya mwezi wa Februari  1 na 2. Na mshindi wa  tija zote za mechi hizo mbili itakabiliana na timu iliyoshinda kwenye mechi ya Sudan na Algeria.

Na zitashiriki kwenye mashindano ya Afrika Kaskazini ya urafiki , timu za Algeria nchi mwenyeji,Misri,Morocco,Tanzania na Burkin Faso .

Kamati iandaayo mashindano iliamua kuwa Misri haitakabiliana na timu ya Morocco.

Comments