Rais El Sisi amekutana na waziri mkuu na waziri wa vijana na michezo

Rais Abd ElFatah El Sisi amekutana leo na Dokta  Mostafa Madbuly waziri mkuu , na Dokta  Ashraf Sobhy  waziri wa vijana na michezo. 

Balozi Bassam Rady , msemaji wa urais wa jamuhuri , ameeleza kwamba mkutano ulizungumzia maendeleo ya hivi karibuni ya kutekeleza maoni ya kimikakati kwa wizara ya vijana na michezo , yanayolenga kuboresha sekta za vijana na michezo , kupitia miradi na programu zinazosaidia kutoa misaada ya kiujana na ya kimichezo kwenye mfumo wa Jamhuri  , pamoja na kuimarisha maana ya uwekezaji wa kimchezo , inayosaidia kutoa fursa za kuajiri . 


Mheshemiwa Rais akizingatia kuendeleza njia za kugundua na kukuza vipaji vya michezo baina ya vijana katika mikoa  mbalimbali ya jamuhuri , akisisitiza imani yake kamili katika uwezo wa vijana wamisri , pamoja na hayo dharura ya kuwekeza nishati za kiujana  zasizo na mipaka katika kujenga nchi , haswa kupitia kuweka programu zinahusika ili kuwahamisha vijana kushiriki katika kazi ya jamii , na hiyo katika mfumo wa maumbile inayowakilishwa na sekta ya vujana kwenye sera ya nchi ya programu zake kuwa hawa ni nguzo ya mustakabali na msingi wa usalama wa nchi .

Vilevile Rais ameomba kufanya mpango kamili unalenga kuanzisha na kuendeleza majengo na vyumba kwa sekta ya michezo nchini Misri , na hiyo pamoja na miradi mikubwa ya maendeleo  inayofanywa na nchi , inayoisaidia Misri kumiliki uwezo wa kilojostiki "kimikakati" na wa kiutaratibu mpya ili kukaribisha ubingwa wa ulimwengu katika michezo mbalimbali , pamoja na gharama zinazowekwa kwa michezo nchini Misri na kuenea michezo kwa kiwango cha juu baina ya wananchi wa Misri , hayo na kudhamini kutoa ufadhili wa binafsi kwa miradi hiyo ili kuitengeneza na kuiboresha wakati wote . 


Msemaji rasmi amesema kwamba waziri wa vijana na michezo ameonesha kupitia mkutano msimamo wa kiutekelezaji wa miradi ya wizara ya vijana na michezo , miongoni mwao ni miradi ya kuboresha idadi za majengo kwa vijana kwa kiwango cha Jamhuri kama vituo vya vijana na miji ya vijana na vituo vya elimu na mahali pa kugundua vipaji , pamoja na kuzidisha programu na shughuli za vijana ndani ya majengo hayo ili kuyabadilisha kwa vituo vya huduma za jamii , ili kuonesha uongozi wa vijana , na kuwaleta vijana washiriki katika kupanga na kuimarisha uwezo wao , na kuwahamasisha kufanya kazi ya pamoja na ya kujitoa , na kuendeleza ufahamu wa kiutamaduni na kielimu na kuzindua uwezo wa ubunifu . 


Waziri ameonesha mipya ya sekta ya teknolojia na kubadilisha kwa digitali ndani ya wizara , na miradi wa kufutia ujinga katika vituo vyote cya vijana kwa ushirikiano wa mashirika ha jamii , na pia mpango wa kuhakikisha idara ua kiuchumi kwa majengo ya vijana na ya michezo mbalimbali yanayofuatilia wizara . 


Akiongeza msemaji rasmi kwamba Dokta  Ashraf Sobhy ameonesha pia kupitia mkutano mafanikio muhimu zaidi ya kimichezo ya kimisri kupitia kipindi cha 2018_2019 , yanayojumuisha kuhakikisha mashirikisho ya kimichezo ya kitaifa karibu medali 800 tofauti iwa viwango vyote vya kimataifa , kiarabu na kiafrika , pamoja na kupokea karibu ubingwa 60 kupitia mwaka huo , na idadi za matukio  mengine ya michezo pia . 


Waziri wa vijana na michezo ameonesha maendeleo ya mwisho ya mradi wa kitaifa wa kugundua wanao wenye vipaji vya michezo na mradi wa kitaifa kwa vijana wadogo , pamoja na maandalizi ya kisasa ya kushiriki katika kikao cha michezo ya olimpiki katika Tokyo 2020 , na maandalizi ya kupokea ubingwa wa kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume mwaka 2021 , inayojumuisha miundombinu na majengo kwa ajili ya kupanga tukio hilo la dunia .

Comments