Mchezaji wa Al-Ahly ni miongoni mwa wachezaji 5 bora zaidi katika siku ya pili ya Mashindano ya Afrika

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Kimataifa (FIFA) lilitangaza wachezaji 5 bora zaidi katika  siku ya pili ya Mashindano ya Afrika kwa klabu yaliyokaribishwa kwa Misri hadi tarehe kumi na tano mwezi huu.


Mechi 4 zilifanyika jana, Jumamosi, siku ya pili ya Mashindano ya Afrika, ambazo zilishuhudia ubunifu wa wachezaji kadhaa, lakini Shirikisho la Kimataifa lilitosheleza wachezaji 5 bora zaidi tu kati yao.


Wachezaji watano waliorodheshwa kulingana na utaratibu ya FIFA kama ifuatayo : 



1- Digivarima (inergi elbinini)


Mchezaji huyo wa Ivory Coast alifanya vizuri mbele ya Wizara ya Nigeria ya mlima wa moto, licha ya timu yake ilishinda mwishoni kwa 50/96, lakini ilishawishi kupendwa na kila mtu baada ya kufunga nukta 28, "zaidi ya nusu ya nukta za timu yake", na alifanya rebound 16 na aliunda nafasi za usajili kwa wenzake mara 3.


2- Marcellus Sheesy (Wizara ya Mlima wa Moto)


Cheesy aliongoza timu yake ili kupata ushindi mkubwa katika mchezo wake wa kwanza kwenye Mashindano ya Afrika wakati ilipomkabili   mwenzake Energy Benini, aliweza kupata nukta  25, rebound 11 na alichangia kwa misaada 3 kwa wachezaji wenzake.


3-Engilfid Makro (Firifiaro) 


Yeye hakuzuia kitu chochote kwa timu yake katika Mwonekano wake wa kwanza katika mashindano ya Afrika na alisajili nukta18 , alifanya rebound 10 na misaada 4 kwa wenzake ili kuongoza Firofiaro ya Msumbiji ( timu inayoshinda mashindano ) ili kuishinda timu ya Fab ya Cameron kwa  40/48 


4- Astro Trawori (enter klob) 


Baadhi ya watu walifikiri kwamba wakati mchezaji alipofika umri wa miaka 38 , yeye hataweza kuisaidia timu yake uwanjani , isipokuwa Esto alikuwa Kichocheo muhimu zaidi kwa timu yake ili kushinda mbele ya timu ya Sporting katika Muonekano  wa kwanza wa timu ya Angola katika mashindano na Trawori alishinda kusajili nukta  27 mechini , rebound 8 na msaada mmoja 


5-kilsi Mitishel (Alahly) 


Mchezaji wa kitaaluma   mmarekani katika safu za klabu ya Alahly aliweza kufanya vizuri , jambo  lililosaidia timu nyekundu acheze vizuri mbele ya timu ya Cnss ya kongo ambapo aliweza kusajili nukta36 na hivyo ni kupitia dakika 21 an sekunde 21 tu ambazo yeye alishiriki  ndani yao

Comments