Wanaojitolea wa Umoja Wa kiafrika wanaangalia ukale wa Senima ya kimisri kwa kuitazama filamu ya Tembo ya Buluu
- 2019-12-09 22:11:42
Wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika(AU-YVC) walitazama filamu ya Tembo ya Buluu kwenye Opera ya kimisri na hayo wakati wa shughuli za programu ya wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika kwa toleo lake la kumi, inayopangwa kwa Wizara ya vijana na Michezo (Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) na Kameshina ya Umoja wa kiafrika chini ya uangalifu wa Mheshemiwa Rais wa Jamhuri. Na Maonyesho haya yalihudhuriwa na Mwandishi Sayed Fouad "Mkuu wa tamasha la senima ya kiafrika" na Mtoaji bwana Marwan Hamed, na vipindi vya filamu huzunguka kwenye drama ya kuvutiwa ambapo kuchambua katika suala ya kuua na wahalifu wake wanaingia Hospitali ya maradhi ya kiakili, na vipindi hivi huhamisha mambo ya filamu toka ulimwengu wa mambo yanayofichwa na uchawi. Na filamu huchukuliwa toka Riwaya ya Tembo ya Buluu kwa mwandishi Ahmed Mourd, na wahusika wakuu ni Karim Abd Elaziz, Khaled ElSawy, na Nilly Karim. Na inatajwa kwamba programu ya wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika (AU-YVC) huzingatiwa programu kubwa zaidi inayoteklezwa kwa Umoja w kiafrika barani Afrika, wakati ambapo tukio hilo hujumuisha vijana wanajitolea toka nchi tofauti za kiafrika, na mnamo mwaka huu Kairo huikaribisha kwenye kituo cha Kiolimpiki huko ElMaadi, mnamo kipindi cha Desemba 1hadi 12 mwaka huu, na kundi la kumi hujumuisha vijana na wasichana 200 toka nchi 54 za kiafrika, kwa hilo huzingatia tukio la kwanza na la pekee katika historia ya kulipokea tukio hilo tangu utoaji wa toleo lake la kwanza 2010.
Comments