Waziri wa vijana na michezo anashuhudia mazoezi ya timu za Silaha na Sarakasi

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alitia umuhimu wa kuwaangalia mazoezi ya timu za Silaha  na Sarakasi  yanayofanyika kituoni kwa Olimpiki eneo la Maadi katika mfumo wa maandalizi ya timu hizo mbili kwa mashindano ya michuano ijayo . 


Waziri wa michezo aliwahamisha wachezaji wa timu za Silaha  na Sarakasi  ili kucheza kwa bidii , na kuzingatia katika makambi ya kimafunzo kwa ajili ya kuhakikisha mafanikio kwenye michuano mbalimbali . 


Dokta Ashraf Sobhy alisisitiza uangalifu wa kudumu na mashirikisho ya kimchezo  na ufadhili wake katika kutekeleza programu za kuwaandaa wachezaji wa timu za kitaifa katika mwanga wa sera ya nchi wa kuwasaida wachezaji . 


Kwa upande wao , wachezaji wakisisitiza hamu yao ya kuhakikisha ushindi , na kuinuka bendera ya Misri kwenye mashindano yajayo , na kufikia olimpiki  ya Tokyo 2020 , kwa kufuata mipango ya kimafunzo na kuzingatia katika makambi yao .

Comments