"Wizara ya vijana na michezo " inaendelea shughuli za programu ya " Kadi Afrika " kwa wanajasirimali

Wizara  ya  vijana  na  michezo  ( idara  kuu  kwa  miradi  na  kutoa  mafunzo  kwa  vijana) inaendelea  kutekeleza  shughuli  za  programu  ya  " Kadi Afrika  " katika  sekta ya  ujasirmali  kwa  ushirikiano  na  programu  ya maendeleo ya umoja  wa mataifa  , taasisi  ya  Elfarankfunia  na  kampuni  ya  Microsoft  na  inayokaribishwa  na  kituo  cha  masomo  ya  kiraia   katika  Gazira  tangu  tarehe  5 mpaka  tarehe  11 mwezi  huu  wa  Desemba    ,na  kwa  ushirikiano  wa  wanajasirimali   wanaowakilisha  nchi  za  Mali  , Kameruni  , Senegal    na  Misri  .


Shughuli  za  siku  ya  tano  zinakusanya   utendaji  warsha  mbili  juu  ya  kuendeleza maelezo  na takwimu  mkubwa  na  usuluhisho  wa  changamoto  za  kijamii   ,na  waliohudhuria  nao  ni  Bwana :- Basteen Injelur  mtaalamu  wa  takwimu  kwa  kampuni  na  mkuu  wa  taasisi  ya  Elfrankkofunia  kwa  mashirika  ya  ubunifu   , na  Bwana :- Tlorant Yuzan  mtaalamu  wa  sanduku  la  Elfrankkfony  .



Vipengele  vya  warsha  inayofanya  chini  ya  Anuani  " maelezo  marefu " vinakusanya   idadi  ya  ufafanuzi  inayohusiana na  maelezo  marefu   na  inayokusanya  msamiati  wa  kipimo  , mbio  na  tafauti  , jinsi ya  kuainisha  kati  ya  maelezo  ya  moja  kwa  moja  na  maelezo  yanayopita kiasi  , jinsi ya  kukabiliana  nayo na vifaa  vya  utumiaji  wa takwimu na programu  ya  simu ili kuhifadhi  maelezo.  Vilevile,  warsha  inajumuisha kueleza ufafanuzi wa  mbio wa kuwasilisha maelezo na Tafauti  ya vyanzo  vyake  na  matokeo  ya  hivyo  katika  utumiaji  na  Athari ya  maelezo  hayo   pamoja  na  kuonesha  matokeo ya kupanga  maelezo  marefu.


Mashirikiano    yalijadili  kazi  ya  kusanya  na  kuainisha  maelezo  na  kuipanga na  kuunda  mfano  kwa  hatua  hizo  pamoja  na kuonesha  vipengele  vya  nadharia ya uamuzi  na  kufanya ufafanuzi wa matukio na jambo la kukata  shauri  ili  kufikia  sababu za tatizo  ili  kupata  maamuzi ya  kulitatua  pamoja  na  kuonesha  ushuluhisho mwengine.



Villevile, Walimu  kwenye  warsha  wanajadili maelekezo ya  utumiaji  vielezi vya  kiwango na jinsi na  vielezi vya  kubainisha  mafanikio katika kutekeleza malengo ya  miradi  ,na kazi  ya kutumia  maelezo yanapo kuhusu wateja   wanaopeleka mkurugenzi  na  kuweka  mkakati  wa  kufikia  wateja  katika kipindi maalumu pamoja  na  kuainisha kazi  na  vyanzo  vya maelezo wakati  wa  kuweka  mkakati  wa  kazi  .

Comments