Watanzania nchini Misr wanatarajia kupeperusha bendera ya nchi katika mashindano ya kitamaduni, yajulikanayo kama TAMASHA LA KIAFRIKA ,yanayo kusanya washiriki kutoka nchi mbalimbali za barani Afirika,yatakayo fanyika siku ya Al khamis tar 12/12/2019 katika ukumbi wa Taalim el madany jijini Cairo.
Mashindano hayo ya aina yake yanakusanya Categories mbalimbali zitakazo shindaniwa katika siku hiyo, ambapo watanzania watashiriki katika Categories zifuatazo:
(1)Nyimbo za dini (Qasida)- Al fannaan Muhammad Muhiya (Shauqy).
(2) Uchoraji - Hassan Sued
(3) Vazi la kitamaduni-(Tahope)
(4) Malkia wa Afrika- (Tahope)
(5)Nyimbo ya kitamaduni(Tahope)/(Shauqy)
(6)Mfalme wa Afrika - (Baba Warda)
Mashindano yataanza kuanzia muda wa Saa 6:00 jioni,kuingia ni kwa kadi maalumu.
Comments