Mpango wa Wajitolea wa Umoja wa Kiafrika inapokea mjumbe wa Kameshina ya Sayansi, Teknolojia na Rasilimali za Kibinadamu

Wizara ya Vijana na Michezo ilimpokea Profesa Sarah Agbor , Kamishna wa Sayansi, Teknolojia na rasilimali za kibinadamu wa Umoja wa Afrika, pembezoni mwa shughuli za  programu ya Wajitolea wa Umoja wa Afrika, iliyokaribishwa kwa Misri mnamo kipindi cha Desemba hii 1 hadi 12 , chini ya uangalifu wa Rais Abdel Fattah El-Sisi.



Kameshina wa Sayansi, Teknolojia na rasilimali za kibinadamu wa Umoja wa Afrika,  kwa niaba ya Musa Faki, Mwenyekiti wa Kameshina ya Umoja wa Afrika, aliishukuru na kuiheshima Misri  kwa kukaribisha kuzuri mpango wa kujitolea wa Umoja wa Afrika, na kundi la kumi, hasa kundi hilo lilijumuisha washiriki 200 kutoka nchi 54, akielezea kufurahishwa kwake na uratibu mzuri wa mpango wa Misri.


Kameshina alizungumza na vijana juu ya umuhimu wa mpango wa kujitolea wa Umoja wa Afrika, unaongeza idadi ya vijana katika Kameshina  ya Umoja wa Afrika, akiashiria umuhimu wa  na umoja kati ya vijana wa Kiafrika ambao Kameshina  alizungumza na vijana juu ya umuhimu wa mpango wa kujitolea wa Umoja wa Afrika, unaoongeza idadi ya vijana katika kameshina ya Umoja wa kiafrika, akiashiria umuhimu wa Ushirikiano na Umoja kati ya vijana waafrika litakaloongoza bara la  Afrika  tunalolitaka ifikapo 2063 ambapo itapita uhuru wa nchi za Afrika miaka 100.



Kameshina  alishiriki maoni kuhusu masuala mbali mbali na vijana walioshiriki katika mpango wa kujitolea wa Umoja wa Afrika, akisifu mpango wa mafunzo kwao.



Ni muhimu kukumbuka kuwa mpango wa kujitolea wa Umoja wa Afrika (AU-YVC) ndio mpango mkubwa zaidi wa kujitolea barani Afrika, ulioanzia mnamo 2010, na unafanya kazi kulingana na Ajenda  ya Umoja wa Afrika 2063, na inakusudia kustahili vijana kufanya kazi kwenye ajira zao katika nyanja za kimaendeleo ili kuhuduma  nchi zote za Kiafrika katika sekta nyingi na halmashauri tofauti.

Comments