Mchezaji mmisri "Ahmed Adly" anaelekea Kombe la dunia kwa Sataranji baada ya kutawaza lakabu ya michuano ya kiafrika.
- 2019-05-13 10:31:07
Shujaa mmisri "Ahmed Adly" ameelekea Kombe la dunia kwa Sataranji mwaka
wa 2019,baada ya ushindi wake mnamo Ijumaa tarehe ya 11,mwezi wa 5, mwaka wa
2019, kwa nafasi ya kwanza na Medali ya kidhahabu kwa takwimu ya nukta 8 kutoka
mechi 9 mnamo michuano ya eneo la kiafrika la pili yaliyomalizikwa kwenye mji
wa Mombasa nchini Kenya.
Na katika michuano ya wanawake wamisri wawili
"Alaa Moataz" na "Sohaila Abd Elmenim" walipata nafasi ya
pili na ya tatu kwa takwimu ya nukta 6,5 baada ya mchezaji wa Uganda "Efy
Klary" kwa takwimu ya nukta 7,5.
Inatajwa kwamba michuano ya wanawake haiandai
kuingia Kombe la dunia na nafasi ya wachezaji wanawake kwa Kombe la dunia
itakuwa kupitia michuano binafsi ya kiafrika itakayofanyika mwisho wa mwezi
ujao.
Comments