Timu ya kitaifa ya Misri katika kuujenga mwili imepata matokeo mazuri katika michuano ya dunia katika kuujenga mwili na Elfezek iliyofanyiwa katika Barshluna nchini Australia tangu 5 mpaka 10 mwezi huu wa Desemba. Ujumbe unakusanya kocha Osama Matbuli na wachezaji 12 kutoka mabingwa wa Misri , matokeo yao yalikuja kama yafuatayo :-
Bingwa Shabani Elsaid alifikia nafasi ya tatu na medali ya kishaba katika rika la wachezaji chini ya umri 45 kwa kujijenga mwili kwa uzito chini ya 80gk ambapo Amiri Mubad alifika nafasi ya sita wachezaji wa Elfezek juu ya umri 50 , said Elnasr alifikia nafasi ya sita wachezaji wa zamani chini ya umri 45 , bingwa Wael Youssf alifikia nafasi ya tano aina ya jadi pia chini ya umri 45 . Vilevile, Yasser Otba alifika nafasi ya kumi na moja na Hamdy Nofal alipata nafasi hiyo hiyo katika kujijenga mwili , Muhamad Abo Elizz alipata nafasi ya nne , Hany Matmed alipata nafasi ya tano , Amr Elhadidi alifikia nafasi ya saba kwa uzito mzito chini ya umri 45 na Mustafa Elkashf alifikia nafasi hiyo hiyo chini ya umri 45 kwa uzito chini ya 80k na Ashrf fula aliweza kufikia nafasi ya saba juu ya umri 45 kujijenga mwili , mwishoni Heshima Abu Eldahab alifikia nafasi ya 12 fezik juu ya umri 40.
Kutukana na matokeo hayo Misri iliweza kufikia nafasi ya pili kwa nukta tafauti kutoka nafasi ya kumi na moja na nukta tatu kutoka nafasi ya kumi na nafasi ya nchi tatu za kwanza imekuja kama yafuatayo :-
Urusi imekuja katika nafasi ya kwanza , Asturaia katika nafasi ya pili na Bolanda katika nafasi ya tatu na idadi ya nchi zinazoshiriki katika michuano ni nchi 50 ulimwenguni mwote .
Ujumbe wa Misri umeongozwa na Dokta Mahmuod Darwesh mwanachama wa baraza la usimamizi wa shirikiano wa Misri , kiarabu na Kiafrika na naibu mkuu wa kwanza wa shirikiano la kujijenga mwili.
Imetajwa kuwa Mabingwa wa timu ya kitaifa ya Misri waliingia michuano ya dunia kwa kujijenga mwili katika awamu ya umri tafauti kutoka miaka 40 hadi miaka 60 , nao wote wanatoa mfano mzuri kwa uwezo, hamasa, kujitolea kwa mabingwa wote baada ya kufikia umri hiyo na waendelee katika mazoezi mpaka umri huu unaozingatiwa uwezo na uzoefu kwa rika hili kutoka mabingwa wa mchezo wa kujijenga mwili na kuingia michuano ya dunia ,kupata medali hizo na kuinua bendera juu katika mkutano mkuu wa kimataifa hayo inazingatiwa kuwa changamoto mpya kwao ili kuendelea ushirikiano wao katika michuano za dunia ili kuinua Alama kuwa " umri ni namba tu " na kuwa vijana ni vijana wa roho na misuli pia
Comments