Wizara ya vijana na michezo pamoja na kamati ya Olimpiki zinashiriki katika mkutano wa (Amani na Michezo ) mjini Monako

waziri wa vijana na michezo, Dokta Alaa Gabr ambaye ni naibu mwenyekiti wa baraza la uongozi wa kamati ya Olimpiki, mhandisi Yasser Edres ambaye ni mwenyekiti wa shirikisho la kuogelea na mwanachama wa baraza la uongozi wa kamati ya Olimpiki na pia mwenyekiti wa kamati ya klabu na shirikisho la Olimpiki, wameshiriki katika kikao cha ufunguzi wa mkutano wa (Amani na Michezo )  unaofanyika kila mwaka chini ya uangalifu wa mfalme (Albert) ambaye ni mfalme wa Monako nchini Ufaransa, chini ya kauli mbiu (mabingwa wa kimichezo kwa ajili ya Amani ) ili kuunga mkono maadili ya Amani  na uvumilivu, na ambayo utaendelea mpaka jioni ya kesho, Ijumaa.


Mhandisi Yasser Edres amesema kuwa michezo inazingatia lugha ya dunia ambayo inaweza kuwa chombo kikali ili kuimarisha amani, uvumilivu na kufahamiana, pia michezo inawezekana kuitumia katika kuimrisha mshikamano na mshikamano wa kijamii na kuishi maisha ya amani kwenye viwango vyote, kwa sababu michezo inazingatia chombo kikali ili kuunganisha mahusiano na mitandao ya kijamii, kwa ajili ya kuimarisha maadili ya amani ya juu, udugu, mshikamano, haki na uvumilivu na sio kwa vurugu.


Edres aliongeza kusema kwamba michezo una jukumu muhimu kwa ajili ya ulimwengu mwenye usalama na utulivu zaidi, na amani zaidi kutokana na thamani yake ya elimu na mitandao yake ya dunia, na pia ubaguzi usio wa kijinsia na ya kikabila.

Pia kukuza kwa ujumuishaji wa kijamii na mwito wa kugundua njia za maisha za afya, hasa kuwa Mfaransa Dokta (Beber de kobartan) ambaye ni mwanzishi wa michezo ya Olimpiki ya kisasa na mwenyekiti wa pili kwa kamati ya Olimpiki ya dunia, alikuwa akiunga mkono kwa nguvu katika sherehe zote za kimataifa kwa utamaduni wa amani na maadili ya kibinadamu na kijamii kwa michezo.

Comments