Kairo humaliza shughuli za mpango wa kujitolea wa umoja wa kiafrika

wizara ya vijana na michezo ( Idara kuu kwa Bunge  na Elimu ya kiraia - ofisi ya vijana wa afrika ) ilimaliza shughuli za mpango wa wajitolea wa AU ulioanzishwa kwa kushirikiana na Kameshina ya umoja wa kiafrika kuanzia Novemba  28 hadi 13 Desemba  2019

hafla hiyo ni pamoja na hotuba ya Sara  Agbor mwakilishi wa umoja wa afrika , balozi Mohamed  Karim  Fouad Sherif  -  naibu msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa taasisi na jumuiya za kiafrika , Bibib Dina  Fouad  mwakilishi wa wizara na mkuu wa Idara  kuu kwa Bunge na Elimu  ya kiraia wanawakilishwa na wizara ya vijana na michezo , profesa Sayd  Fleifel ni mwanachama wa bunge la kimisri , Bibi Proudins ni mwanachama wa tume ya umoja wa kiafrika 

sherehe ya kuhitimu wajitolea pia ni pamoja na kumheshimu kameshina Sara  Agbor  , Profesa Sayd  Fleifel  na Dokta Helmy El Hadidi Rais  wa shirika la ushirikiano wa watu wa Afro Asia , Dokta Said Fouad  ni rais wa Tamasha la luxor la senima ya kiafrika na Bwana Mamdouh Rashwan katibu mkuu wa umoja wa kiarabu kwa vijana na michezo

Mwakilishi  Sara  Agbor  alipokea hati za kiapo cha wanafunzi hao na kutangaza rasmi sifa ya kwa hatua inayofuata na kwamba sasa ni sehemu ya umoja wa kiafrika na alizungumza katika hotuba yake kuhusu jukumu lao kuelekea bara lao na mchango wao wa kubadilika , sherehe ya kufunga pia ni pamoja na sherehe ya kisanii inayoonyesha urithi tofauti wa Misri  

ni muhimu kutaja kuwa Rais  Abd Elfatah Elsisi   amechukua hatua na mipango mingi ambayo inalenga kusaidia vijana wa kiafrika na kuwaunganisha katika michakato ya kufanya maamuzi , mpango hii ilimalizika katika juhudi hizi za kuhitimisha mwaka wa Urais  wa Misri  kwa umoja wa kiafrika 

programu ya kujitolea ya AU ( AU -YVC ) ndio mpango mkubwa zaidi wa kujitolea unaotekelezwa kwa umoja wa kiafrika barani hilo ambapo tukio hili huleta pamoja kujitolea kutoka nchi tofauti za kiafrika , Kairo  itaikaribisha mwaka huu katika kituo cha olimpiki huko Maadi  wakati wa tarehe 1 hadi 12 Desemba  ya mwaka huu , kikundi cha kumi kinajumuisha vijana wa kiume na kike zao kutoka nchi 54 za kiafrika kwa hivyo kielezo cha kwanza cha aina yake na kubwa katika historia ya mwenyeji wa hafla hiyo tangu kuzinduliwa kwa toleo lake la kwanza mnamo 2010



Comments