Maktaba ya Alexandrina huelezea historia ya mahusiano ya kimisri kiafrika tangu zama za Mafarao.
- 2019-05-13 10:37:21
Makumbusho ya mambo ya kale
kwenye maktaba ya Aleksandaria,
Jumatatu 13/5 yanapanga mhadhara kwa kichwa cha "Mahusiano a kimisri-kiafrika
kwenye Misri ya Farao " , unaotolewa na Dokta "Abdel Hamid Saad
Azab", Profesa wa vitu vya kale na Ustaarabu wa Misri ya Kale, katika
sehemu ya Magofu , kitivoni cha Fasihi Chuo Kikuu cha Tanta, Na Mkuu wa zamani
wa Chuo cha Juu cha Utalii na Hoteli huko Hurghada. Na Dokta
"Hussein Abdul-Basir," mhusika
wa Vyombo vya Habari wa Makumbusho ya vitu vya kale , amesema kwamba mhadhara unaonyesha kina cha
mahusiano ya kimisri na kiafrika nchini
Misri ya kifarao, yanayorejea kwa zama za awali na zinazoyatafutia toka
athari juu ya ustaarabu wa kimisri
nchini Kush .
Ambapo bila shaka huonyeshwa hatua za Ushirikiano na nukuu ya kuchukuliwa katika nyanja mbalimbali za ustaarabu wa kimisri mwenye
uongozi katika eneo, na Aliongeza kuwa historia ya mahusiano kati ya Misri na
Afrika inarejea maingilio ya kimisri ya kale ndani ya bara la
Afrika ili kuleta Pembe za ndovu, mbao ,
uvumba, wanyama na wengine.
na kuitumia migodi ya
dhahabu ya kiafrika vizuri , kuleta bidhaa za nchi za Kush, na kulinda mipaka
wa Misri toka upande wa kusini.
Na alielezea kina cha mahusiano ya kimisri na kiafrika
katika zama za Mafarao katika upande wa
kisiasa, pamoja na athari maalumu kwa Mila na Destuti. Inaonyesha kwamba
inawezekana kupima kiasi cha kubadilishana kwa uchumi kati ya Misri na Afrika kupitia kutazama bidhaa
mbalimbali za kimisri kwenye kuta za makaburi ya wakuu ,Kama vile katika
makaburi ya wakuu wa Aswan na Luxor, Pamoja na historia ya ujumbe wa Malkia
Hatshepsut kwa nchi za Punt ili kuleta
dhahabu, uvumba, miche ya miti, wanyama na wengine.
Comments