Waziri wa vijana na michezo anamaliza mchango wake kwenye “Mkutano wa Amani na Michezo “ nchini Monaco

Dokta Ashraf Sobhy  ,waziri wa vijana na michezo alimaliza mchango wake kwenye mkutano wa “Amani  na Michezo  “nchini Monaco uliofanyika kila mwaka chini ya utunzaji wa Mwanamfalme Albert ambaye ni,mfalme wa Monaco nchini Ufaransa. Na mkutano huo na chini ya nembo ya “wanariadha kwa ajili ya Amani  ili uungaji mkono wa misingi ya ramani na Uvumilivu “ mnamo kipindi cha mwezi wa Desemba huu kutoka siku ya Alhamisi terehe ya 12 mpaka 13.

Na Ashraf Sobhy  alisisitizia kuwa michezo ni njia bora sana za uimarishaji  Amani kati ya wananchi ya nchi za dunia. Na pia inaimarisha ushirikiano wa kijamii na maendeleo ya kiuchumi ya nchi mbalimbali .

Na waziri wa vijana na michezo pia  akiongeza kuwa tunalazima kutaja mchango wa michezo kuhusu Amani  ya ndani ya kila mtu na wa  wachezaji . akisisitiza kuwa wakati mchezaji ana Amani  hiyo ndiyo ina athari kubwa kuhusu kueneza upendo na ushirikiano na wengine .

Na kwenye mkutano huo, idadi kubwa ya mawaziri wa vijana na michezo kutoka nchi tofauti za dunia walishiriki . Na Dokta Ashraf Sobhy  aliongoza ujumbe wa Misri pamoja ya ushiriki wa Kamati ya Olimpiki ya Kimisri .

Comments