Katibu mkuu wa shirika la Usalama na ushirkiano wa kiulaya :vijana ni siku zijazo na lazima kuwashirki katika masuala yote ya kiuslama

Bool Bekrz  katibu mkuu wa shirika  la Usalama  na ushirikiano  wa kiulaya alisema ,kuwa dhana ya uslama inafanya shirika yoteni tofauti ya mashirika mengine .


Bekrz alisistiza kuwa shirika  la kiuslama na ushirkiano wa kiulaya linashughulikia kwa jukumu la vijana, basi wao ni siku  zijazo na lazima kuwashirki katika masuala yote ya kiuslama .


 Aliendelea akisema :tunapaswa kuwa na  uangalifu kutoka utawala na athari juu ya vijana na kusema katika masikio yao ,akiashiria kuwa lazima kuwaacha kwa tabia yao ili kusaidiana .


Bekrz alionya kutoka vitisho vya nje kwa bara na mipaka ilisabibsha kwa ukatili nguvu na ugaidi ,akisistiza lazima kuongeza juhudi na kufanya kila moja kwa zamu husika .


 Hayo yalikuja kupitia kikao (changamoto za kisasa kwa Usalama  na Amani  za kimataifa ) katika jukwaa la vijana ulimwenguni katika toleo lake  la tatu mjini Sharm Elsheikh kwa kuhudhuria rais Abd Elfatah Elsisi .

Comments