Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaelekea ujumbe wake kwa vijana wa dunia katika mkutano wa Sharm El-Sheikh

Antonio Guterresh ,Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alielekeza ujumbe wake kwa vijana wa dunia, kupitia video iliyoonyeshwa kwenye matukio ya mkutano wa vijana wa dunia, unaofanyika sasa mjini Sharm El-Sheikh.

Na amesema kuwa vijana wanaendesha operesheni ya maendeleo kwa kiwango cha dunia yote. Akifafanua kwamba vijana wengi wana vikwazo vingi ili kujua uwezo wao.

Akisisitizia kuwa jambo kama hilo halikubaliki. Akiashiria kuwa  Umoja wa Mataifa unatangaza kwamba kupitia mpango wa Nijana wa mwaka 2030, kwamba haiwezi kuhakikisha malengo ya maendeleo  endelevu bila ya kushiriki kwa vijana.

Na akiongeza kusema kuwa “ tunaunga mkono na vijana kwa ajili ya kuondoa umasikini,kupunguza ukosefu wa usawa,kukabili mzozo wa silaha na ufisadi, kupambana na chuki na kimarisha haki za binadamu. Na pia ninawadai waendelee kutumia shinikizo kushughulikia  dharura ya mabadiliko ya hali ya hewa.”

Na aliendelea kusema kuwa Umoja wa Mataifa  mwaka ujao utaadhimisha siku kuu  yake ya mwaka sabini na tano , na kwa hiyo utafanya mazungumzo ya dunia, ambapo utapokea mawazo ya vijana.

Na mwishoni alisema “ natumai unajiunga na mazungumzo na watatuunga mkono kwa ajili ya kujenga dunia bora kwa kila mtu,asante .”

Na mkutano wa vijana wa mwaka huu unashuhudia mfano wa uigaji wa Jumuiya ya Bahari ya kati (MUFM) ,ili kusaidia vijana wa eneo la Bahari ya kati kukutana kwa maisha bora ya baadaye. Na pia wanashiriki katika mfano huo wakilishi wa nchi za Jumuiya ya Bahari ya kati wanao ni wakilishi 43, ili kuhakikisha malengo ya maendeleo ya binadamu na utulivu wa kikanda.

Pia mkutano huo unajumuisha INSPIRED ili vijana wa  dunia wanaweza kuelezea uzoefu na ujuzi wao kwa shirika la  spika nane wanaoonyesha uzoefu wao ili kusaidia ubinadamu.

Na mkutano wa vijana wa mwaka huu unakuja na  kubeba ujumbe wa uelewe wa ulumwengu na ujumuishaji kupitia kundi la maonyesho mapya ya ubunifu na kisanii yanayoonyesha tamaduni za watu wa nchi mbalimbali. Na hiyo ni miongozo ya Rais Abd El-Fatah El-Sisi kwenye mkutano wa vijana wa kwanza wa mwaka 2017 kwa kufanyika warsha ya vijana kujadilia masuala mbalimbali katika mraba wa kisanii wenye kusudi.

Comments