Waziri wa vijana na michezo anakutana na mabingwa wa Misri wanaoshiriki katika Mkutano wa vijana wa ulimwengu

Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy alikutana na kundi la wanariadha na wachezaji wanaoshiriki katika jukwaa la vijana wa ulimwengu linalofanyika mjini Sharm El sheikh mnamo kipindi cha tarehe 14 hadi 17 Desemba, chini ya uangalifu wa Rais  Abd Elfatah  Elsisi ambaye ni Rais  wa Jamhuri.

Mkutano unaonyesha maoni ya wizara ya vijana na michezo katika kuunga mkono wachezaji wa timu za kitaifa kwa uratibu na kamati ya Olimpiki na shirikisho la michezo, ili kutekeleza kwa mipango ya mazoezi iliyoandaa kwa wachezaji katika maandalizi ya michuano ya kimichezo mbalimbali iliyopangwa ushiriki wao nazo.


Pia mkutano umejumuisha zamu ya wanariadha na mabingwa wa Misri katika michezo mbalimbali katika jamii, kwa kuzingatia kwao ni mfano wa kufuatwa, ukiongezea na uwakilishi wao wa heshima wa Misri  katika vikao vya kimataifa

Comments