Al-Ahly inashinda tuzo nne za kibinafsi kwenye michuano ya kiafrika kwa mipra wa kikapu
- 2019-12-16 22:35:04
Ingawa kilabu ya Al-Ahly ilishinda nafasi ya tatu na medali ya kishaba kwenye ubingwa wa Afrika kwa klabu ya wanawake wa mpira wa kikapu, ambapo Misri imekeribisha kutoka kipindi 9 hadi 15 mwezi wa Desemba huo huo , kwenye ukumbi wa uwanja wa Kairo ,ila haitoshi kwa medali ya kishaba tu.
Ambapo wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu kwa wanawake walipata tuzo nne ya kibinafsi kwenye ubingwa huo, kupitia sherehe ya hitimisho , ambapo alishinda hodari Kylsi Mitshil , ambapo Al-Ahly ilisainiwa naye hadi kushiriki kwenye mashindano ya ubingwa tu , alishinda kwa cheo ya mchezaji mbora na msajili wa tatu baada ya ealisajili goali 28 kupitia mechi ya ubingwa , na pia alishinda kwa cheo yenye magoli mengi kwenye michuano ambapo alisajili nukta 173.
Shakila Nan mchezaji wa timu ya Al-Ahly alishinda pia kwa cheo wa mchezaji bora kwa Ribwand kwenye ubingwa kwa jumla 87 Ripwand.
Na timu ya Firo Fyaro ya Msumbiji ilishinda cheo ya michuano ya Afrika baada ya ilishinda kwa Interklop fainali ya mashindano kwa jumla 90/91. Ili kupata kwa cheo huo kwa mara ya pili.
Na timu ya michezo ni timu ya pili ya Misri iliyoshiriki kwenye ubingwa pembeni mwa Al-Ahly ambapo ilishinda kwa nafasi ya nne baada ya ilishindwa kutoka timu ya Al-Ahly.
Comments