Kijana mmoja wa mpango wa “ kiafrika-kiurais” wa kimisri alisema kwa kizazi chake : kumbukeni … daima kuna nafasi
- 2019-12-17 11:00:37
Luigi Flex kijana mmoja wa mpango wa kiafrika alisema kwa urais kuwa kutoa uwezo kwa vijana sio operesheni ya kalamu na waraka tu lakini ni maamuzi yanazunguka kwa vitendo halisi . Akiongeza kusema kuwa “ mimi ni pendekezo moja la mpango wa Urais Kwa Vijana.” Na akiendelea kusema kuwa kiwango chake cha elimu kilikuwa kizuri wakati wa miaka ya masomo wake nchini Cameron.
Na kupitia kikao cha “ viwango vya maendeleo endelevu barani Afrika … Nafasi na Changamoto .” ambacho ni miongoni mwa matukio ya Mkutano wa vijana wa ulimwengu kwenye toleo lake la tatu chini ya uongozi wa rais Abd El-Fatah El-Sisi, Flex alisemulia kisa cha maisha chake mpaka alifikia mpango wa urais kwa vijana. Akisema “ nawaambia vijana wote bila ya kujali hali yako ya duni,daima kuna Nafasi . Ninajua kuwa masharti ya maendeleo endelevu barani Afrika ni miundombinu lakini, naona kuwa jambo ni muhimu zaidi ni kuendeleza Rasilimali za kibinadamu.”
Na akiendelea kusema “ barani Afrika tunajisikia daima kuwa sisi chini ya kiwango cha wanadamu , na kwa ajili ya kuhakikisha Maendeleo hiyo,hatupaswi kuweka hatma ya wanadamu katika hatari. Lakini licha ya hali zangu, niliweza kuwa miongoni mwa waliokuwepo hapa leo.”
Na alisema pia “ nilijiandikisha na nilisoma kwenye mpango wa urais kwa vijana, na niliweza kupata stadi nyingi iliyonisaidia katika kuhakikisha mabadiliko mengi katika jamii yangu na kutatua badhi ya matatizo yake.
Na pia Flex akiashiria kuwa, kuna vijana elfu walifaidika kutoka mpango huo wa kiurais amabao ni kama nafasi nzuri katika jamii ya kiafrika kupitia ambapo uzoefu na ujuzi huhamishwa, kupitia vyuo vikuu tofauti katika nchi za bara
Comments